Kwa aliewahi kumpenda sister

Kwa aliewahi kumpenda sister

Nashukuru Mungu mpka huu uzi umefikia hapa, sijaona mtu aliyedhibitisha kuwa ametembea na sister....

ee Bwana watazame watumishi wako, maana mavuno ni mengi na watendaji ni wachache..

ndio maana hukuona sabbu ya kuachia malaika Kanisa, ukaona uwachie Binadamu, ili utukufu wako uijdhihilishe, ile hali ukijua kuwa sisi ni wakuangika dhambini
 
Nahisi hawako humu! And sometimes they will never put it open!
 
Masista, Mapadri.... They are humans and they do sin!!! Nimesoma shule ya masista ambako tulikua tunasoma na masista darasani. Tangu nianze kusoma masista wawili wameachishwa usista kwa kupata ujauzito I proved it sijahadithiwa. Na pia hawa mapadri kuna wenye watoto kabisaaaaaaaa.
Classmate wangu wa primary baba ake alikua Polisi na alishawahi mpa sista mimba ,nakumbuka kabisa Yule sista alifukuzwa na yule afande sikumbuki kamawalihamiswa au aliachishwa kazi.
So sisemi ufanye ila they are humans na wana feelings kama sisi tu
 
Wewe unaishi zama gani watu wanakupa mbinu za kuwala wewe unasema no one,usiwe Tomaso.
Yaani nikadate sister ??
Yaani nimekosa nini hadi nifuate hao wateule..

Kila mtu ana choice mkuu! Town wako watoto wakali tuu na misabwanda ya haja...

Kula tunda kwa kujificha siko!
 
Yaani nikadate sister ??
Yaani nimekosa nini hadi nifuate hao wateule..

Kila mtu ana choice mkuu! Town wako watoto wakali tuu na misabwanda ya haja...

Kula tunda kwa kujificha siko!
Mimi kanipenda sasa nisipomshughulikia ataliwa Na boya Fulani,hizi zari haziji mara2
 
Back
Top Bottom