Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Jiulize mwenyewe jibu unalo!Ulikua unashauri awekwe kwenye mizania ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiulize mwenyewe jibu unalo!Ulikua unashauri awekwe kwenye mizania ipi?
Unadhani Jokate bila shule angefika hapo alipo. Sawa amegawa lakini shule imesaidia kidogo. Maana kuna watu wamegawa lakini hakuna walipofika.(Wema Sepetu)mind kuwa huyu binti ni miss Tanzania wa mwaka fulani japo hakuwa namba moja
Dah mkuu basi liogope hata ilo jina basi 😕Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii ambao wengi ni waongo. Naomba kwa ambaye ameshawahi kusali Friends of God ministry kwa mchungaji Irene Uwoya aje kutupa ushuhuda hapa ili tuweze kuwaokoa watu wa Mungu. Mungu awabariki sana.
View attachment 2993264
Tusubiri wafuasi wake waje mkuu. Huyu mchungaji inaonekana ana mvuto kama alio nao mchungaji Christina Diamond. Hawa ndio wachungaji wa tunaotakiwa kusali kwao.Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii ambao wengi ni waongo. Naomba kwa ambaye ameshawahi kusali Friends of God ministry kwa mchungaji Irene Uwoya aje kutupa ushuhuda hapa ili tuweze kuwaokoa watu wa Mungu. Mungu awabariki sana.
View attachment 2993264
Wakiristo hawawezi kutetea dini ya Mungu wao. Wanamwchia mwenye dini yake aitetee kwakifupi wakiristo wanaamini katika Mungu mwenye nguvu asiyehitaji msaada waoMimi sina cha kuongea ila hawa wanafanya sasa niamini ukiristo zama hizi ni dini ya kitapeli wakiristo wanatakiwa wasimame waiteteee kwa nguvu dini yao mungu wetu ana dhihakiwa sana mungu wetu mpk wasagaji wanaojiuza wanajiita manabii nyakati hizi tutaona mengi duniani mpka tufe kazi ipo
Pilipili alishafunga kanisa, alikosa wauminiNataka nifanye ziara ya kutembelea makanisa ya wasanii wote, nitaanza kwa masanja, madame christina, madame flora, mc pilipili, irene uwoya nione laivu wanasifu na kuabudu vipi, wanafundishaje neno la Mungu na waumini wao wamevaaje? Tunaweza kuwahukumu mapema ni wabovu kumbe ni vyombo safi vya Mungu. Mungu ameinua mawe yamsifu kama wateule wake hawafanyi hivyo
Na dogo janja atakuwa kondoo wakeNa huyu tena kawa mchungaji
Jina lipi niogope?Dah mkuu basi liogope hata ilo jina basi 😕
Sina jibuJiulize mwenyewe jibu unalo!
Ni hatari kutumia uzuri wako kutafuta kazi. Viungo vya chini na mwili ndio utakaoteseka na kuchakaa haraka.Hawa wanawake wangekomaa na shule wangefika mbali sana. Just imagine mtoto kama huyu enzi zile za ubora wake kamaliza chuo anatafuta kazi ni fasta. Niliomaliza chuo ambao ni wazuri wote wana kazi za maana. After 7 years almost all of them are managers and executives.
Huyo ni Malaya hilo liko wazi acheni kutetea usengeJiheshimu unatoa hukumu wewe kama nani?
Unamwita malaya umewahi kulala nae?Huyo ni Malaya hilo liko wazi acheni kutetea usenge
kondoo mnyonyaji hahahaKufungua kanisa Uwoya sio kitu kibaya labda ni kweli Mungu amemuita
Lakini inabidi akubali kubadili matendo kuanzia maneno mpaka mavazi
Mchungaji ana vikuku mguuni waumini wataelewa neno wakati akili yote itakua inamuwaza
Amevaa koti hilo bra ya ndani inaonekana Seriously? Mimi kama kondoo nitakua nawaza nanyonya kifua cha mchungaji
Abadilike..!
Nisipo lala nae mm ndio hawezi kuwa Malaya!!?Unamwita malaya umewahi kulala nae?