Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Dah mkuu basi liogope hata ilo jina basi 😕
 
Tusubiri wafuasi wake waje mkuu. Huyu mchungaji inaonekana ana mvuto kama alio nao mchungaji Christina Diamond. Hawa ndio wachungaji wa tunaotakiwa kusali kwao.
 
Wakiristo hawawezi kutetea dini ya Mungu wao. Wanamwchia mwenye dini yake aitetee kwakifupi wakiristo wanaamini katika Mungu mwenye nguvu asiyehitaji msaada wao
 
Pilipili alishafunga kanisa, alikosa waumini
 
Ni hatari kutumia uzuri wako kutafuta kazi. Viungo vya chini na mwili ndio utakaoteseka na kuchakaa haraka.
 
kondoo mnyonyaji hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…