Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Karibu sana "Friends of God Ministry "
 
Wakati nawaletea habari ya kuokoka kwake hapa si mlinipinga?
Habari zangu ni kiasi cha muda tu, leo kila mmoja anamuita mchungaji Uwoya! Lols

Haya nendeni mkapate upako, msiangalie mavazi bali matendo yake.
Tusamehe Mkuu mambo bado yalikua hayajaiva. Hivi sasa mchungaji yupo tayari kutoa huduma.
 
Utakuwa ni mfuasi wa huyo Kwa matendo na tabia
 
Hizi dini wanaziharibu sana
Anyway nimependa urembo wake wa mguuni
 
ephen😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…