Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Kila binadamu ana karama yake. Mungu ameamua muda wa Irene kuwaokoa wanadamu ni sasa wewe ni nani hata upinge hilo?
Nataka nifanye ziara ya kutembelea makanisa ya wasanii wote, nitaanza kwa masanja, madame christina, madame flora, mc pilipili, irene uwoya nione laivu wanasifu na kuabudu vipi, wanafundishaje neno la Mungu na waumini wao wamevaaje? Tunaweza kuwahukumu mapema ni wabovu kumbe ni vyombo safi vya Mungu. Mungu ameinua mawe yamsifu kama wateule wake hawafanyi hivyo
USISAHAU MIUNGU WAKO WENGI.
Kutoka 20:3-17 “Usiwe na miungu mingine ila mimi.
 
Kufungua kanisa Uwoya sio kitu kibaya labda ni kweli Mungu amemuita
Lakini inabidi akubali kubadili matendo kuanzia maneno mpaka mavazi

Mchungaji ana vikuku mguuni waumini wataelewa neno wakati akili yote itakua inamuwaza

Amevaa koti hilo bra ya ndani inaonekana Seriously? Mimi kama kondoo nitakua nawaza nanyonya kifua cha mchungaji

Abadilike..!
Duh wewe ni lesbian?
 
Kanisa lina baba mchungaji kwanza? Maana hiyo nafasi naihitaji sana.
 
Sioni baya yeye kuwa mchungaji.Swala ni kuwaelekeza njia sahihi waumini wake kupitia Biblia,Narudia kupitia Biblia.Mengine ni ya kawaida sababu ni mchanga huko na bado anafuatiliwa na nguvu za Upande wa Giza anaweza teleza but akasimama go Irene,go nenda Ukamuheshimishe Mungu kwa mataifa.
 
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.

Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii ambao wengi ni waongo. Naomba kwa ambaye ameshawahi kusali Friends of God ministry kwa mchungaji Irene Uwoya aje kutupa ushuhuda hapa ili tuweze kuwaokoa watu wa Mungu. Mungu awabariki sana.
View attachment 2993264
Msiamini kila roho
 
Back
Top Bottom