Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Nimeenda kwenye page yake,ana page mbili tofauti.ana yake na Kuna pge ya kanisa.
Ila huku kwenye page yake naona anaishi kama Irene jwoya.ila kule kwenye page ya kanisa anaishi kama kiongozi wa kanisa.naomba nimshauri kitu.achekeche matendo yake,aondoe Yale yasiyompa utukufu Mwenyezi Mungu.kisha abakishe yake yanayompa utukufu Mungu.

Ikiwezekana afute picha zake zote za nyuma ikiwemo anajiweka uchi.abadili mfumo wake wa mavazi avae Kwa stara kama mwanamke mtu mzima na mtumishi wa Mungu.

Aangalie kampani yake na maeneo anayotaka kwenda,kama anafanya matangazo pia aangalie kama yanampa utkufu Mungu..
Ukianza mwanzo mpya badili baadhi ya vitu vya kale.

Neno la Mungu linasema chochote ama lolote mtalolifanya lifanyeni Kwa utukufu wa Mungu.

Kula,kuimba,kucheza,kuongea,starehe zako,maeneo unayoenda,mavazi yako nk.
Je Mungu anatukuzwa kupitia hayo?
Ni ushauri wangu
Umemshauri vyema.
 
Atazingatia ushauri japo binafsi sijaona ubaya kwenye mavazi yake tangu alipotangaza utume. Urembo ni sehemu ya mwanamke.
JAMAA anatumia X-RAY maana anasema kupitia kwenye Koti alilovaa anaona Bra ama kitu kama hicho. Nime ZOOM mara nyingi sijaona hiyo Bra zaidi ya Kikuku, hapa kama kweli ameamua kuacha njia za zamani ni sawa kwani YESU alisema Mwenye Afya hamhitaji Daktari.... Issue yangu nyingine ni yeye kuwa Mchungaji kama ni kweli immediately
 
Ni jambo jema. Wamuache amtumikie Mungu wake.
 
Sioni baya yeye kuwa mchungaji.Swala ni kuwaelekeza njia sahihi waumini wake kupitia Biblia,Narudia kupitia Biblia.Mengine ni ya kawaida sababu ni mchanga huko na bado anafuatiliwa na nguvu za Upande wa Giza anaweza teleza but akasimama go Irene,go nenda Ukamuheshimishe Mungu kwa mataifa.
Afadhali wewe unampa moyo mkuu. Hapa JF kuna mawakala wa mashetani nadhani.
 
Nimeenda kwenye page yake,ana page mbili tofauti.ana yake na Kuna pge ya kanisa.
Ila huku kwenye page yake naona anaishi kama Irene jwoya.ila kule kwenye page ya kanisa anaishi kama kiongozi wa kanisa.naomba nimshauri kitu.achekeche matendo yake,aondoe Yale yasiyompa utukufu Mwenyezi Mungu.kisha abakishe yake yanayompa utukufu Mungu.

Ikiwezekana afute picha zake zote za nyuma ikiwemo anajiweka uchi.abadili mfumo wake wa mavazi avae Kwa stara kama mwanamke mtu mzima na mtumishi wa Mungu.

Aangalie kampani yake na maeneo anayotaka kwenda,kama anafanya matangazo pia aangalie kama yanampa utkufu Mungu..
Ukianza mwanzo mpya badili baadhi ya vitu vya kale.

Neno la Mungu linasema chochote ama lolote mtalolifanya lifanyeni Kwa utukufu wa Mungu.

Kula,kuimba,kucheza,kuongea,starehe zako,maeneo unayoenda,mavazi yako nk.
Je Mungu anatukuzwa kupitia hayo?
Ni ushauri wangu
KWA UFUPI TUNASOMA SIFA ZA ASKOFU KWENYE 1 TIMOTHEO 3:1-6.

Bila shaka, mwanzilishi wa Kanisa atakuwa ni askofu Mkuu na mtumishi wa Mungu mwenye sifa zifuatazo kama yanenavyo maandiko matakatifu katika kitabu cha Biblia Takatifu.
[1]Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema.
This is a true saying, If a man desire the office of a bishop, he desireth a good work.

[2]Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha;
A bishop then must be blameless, the husband of one wife, vigilant, sober, of good behaviour, given to hospitality, apt to teach;

[3]si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha;
Not given to wine, no striker, not greedy of filthy lucre; but patient, not a brawler, not covetous;

[4]mwenye kuisimamia nyumba yake vema, ajuaye kutiisha watoto katika ustahivu;
One that ruleth well his own house, having his children in subjection with all gravity;

[5](yaani, mtu asiyejua kuisimamia nyumba yake mwenyewe, atalitunzaje Kanisa la Mungu?)
(For if a man know not how to rule his own house, how shall he take care of the church of God?)
[6]Wala asiwe mtu aliyeongoka karibu, asije akajivuna akaanguka katika hukumu ya Ibilisi.
Not a novice, lest being lifted up with pride he fall into the condemnation of the devil.

Tatizo kubwa ni wanaoitwa maskofu hawana sifa za mtumishi wa Mungu. Tuwasaidie wawe kielelezo kwa waaminio Injili ya Yesu Kristo.
 
Back
Top Bottom