Kwa ambao hawajaoa, walimu ni wake wazuri...


hahahahah lol
mmhh of coz im a teacher .....
but the things i teach are very confidential .......
my class start at 8pm to 11pm...
u interested hahahahah lol
 
Tumsifu YESU KRISTU.... BWANA ASIFIWE. Nimeipenda sana sehemu ya kwanza kuhusu malezi ya watoto.Unapoitwa Hute umaanisha bunduki?
 
Unajchanganya tu waalimu wa sasa hivi sio wake bora halafu tena ni Mama mtu mzima, hiyo sasa hivi inaanzia lini? bila ubishi ukilinganisha na profession zingine a teacher stands in a better chance to become a good wife than others. Tusisahau mchango wa elimu katika kupollute minds za wanadamu. Na hii haina maana kwamba kila Mwalimu anaweza kuwa mke bora au asiye mwalimu hawezi kuwa mke mwema
 
Mke mwema ni Engineer bana. Akisikia uzushi, anataka proof. Yuko bize, haongei sana. hana complication za mavazi.
 

Safi sana. Nimeipenda.
 
Ukikosa mwalimu oa nesi nao pia wana maadili mazuri tu na ni watunza familia wazuri
 
hahahahah lol
mmhh of coz im a teacher .....
but the things i teach are very confidential .......
my class start at 8pm to 11pm...
u interested hahahahah lol

I am interested. Teach me twice in a week? Any fee? But do you agree that most teachers (like you) are good wives?
 
I am interested. Teach me twice in a week? Any fee? But do you agree that most teachers (like you) are good wives?

ur welcome my new student
we will start class on Monday 8pm and finish at 11pm..
all equipments are provided.....
is free for the first 3mnth...

mmmmhhhh mkuu ka unafundisha lazima uwe mzuri kwa unacho fundisha
huwezi fundisha kitu usicho kielewa...

usema ukweli nakubalia nawe kwa kiwango fulani walimu ni wake wazuri....
 
Now you are talking. Nakugongea na lisenkyu
 
 
 
Kwa wale ambao waliingia ualimu kama wito ukimuwowa mmoja unakuwa umepata mke wa maana
 
Kwa wale ambao waliingia ualimu kama wito ukimuwowa mmoja unakuwa umepata mke wa maana
Haswaa ndio maana yake. sio Mwalimu aliyeshindwa field zingine zote.
 
Salaamu !

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…