myao wa tunduru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2010
- 614
- 235
nilikuwa nadate na mwalimu ambaye kimavazi,muonekano ni mke bora kwani pia ni muhudhuriaji mzuri wa semina za kidini!katikati ya mahusiano alinieleza kama ana mchumba wake..kwakuwa tulitongoza ilikuwa rahisi kuniambia mambo yake mengi nikagundua huyu mwalimu ni kicheche kwani hata avipendavyo katika 6 kwa 6 ni kinyaa kuelezea.....mke mzuri ni aliyeshika dini kisawa sawa!swali je utamjuaje?