Kwa ambao hawajaoa, walimu ni wake wazuri...



mke bora haina cha fan
its based on indvdual awarness.maadili aliyokulia na anavyoamin
PIGA OT KWA BWANA KUNA WAKE WEEEEEEEENG UKIOMBA UTAPEWA na siyo mnakagua chet mkitaka kuoa mtadanganyika.mnajidanganya.
unaweza kukuta mwanasheria akawa mama mzuri na uyo ticha wako akawa PASUA KICHWA.
 

Basi Rose naomba nikutulize. Hata wanasheria ni wanandoa wazuri. By the way, wanaopata wanandoa wabovu, hawamwombi Mungu kabla ya ndoa?
 
Mke mwema hutoka kwa Mungu!

Haka ka msemo kalimfanya bro wangu awe anashinda kanisani kusaka mke matokeo yake akaokota balaa akidahni mke mwema kumbe mama hafai kabisa alikuwa naye anasaka mume alivyofunga ndoa tu misukosuko ikaanza mama hatulii, kwa iyo bwana kupata mke mzuri zali tu likuangukie manake kwangu mimi ndoa ni kama kamari kuna kuliwa na kula hivyo ikitokea vyote poa tu...unajilipua kama kandahar.
 
Basi Rose naomba nikutulize. Hata wanasheria ni wanandoa wazuri. By the way, wanaopata wanandoa wabovu, hawamwombi Mungu kabla ya ndoa?

nalitambua ilo ndo mana nkasema kuwa mam mzur haina FANI ..na jinsi watu walivyoaminishwa et mwanasheria sjui si wamam wazuri na walimu yes wazuri..MIMI SIAMINI IVO. ndo mana nkawapinga that ao wanaozan si wamama wazuri ndo wenyewe na ao malaika wao walimu wanaweza kuwa vtuko ndoan
 

dah wewe umeingia kichwan mwangu?
jaman i kitu ni kamar as u said...UNAINGIA MGUU MMOJA THEN IKIKAA KIMCHONGOMA UNANYOTOKA TU...kamari ni nying sana nw days ..wu to trust iz bg bpm
 
Ndio Afrodenzi nilisha declare interest tangu mada ilipoanzishwa na kwa kweli ni Mwalimu mzuri and a good wife also

safi sana .....
hakuna kitu kinachonifurahisha ka mwanaume kumsifia mkeo ...
 

Nakusapoti. Akili za Biblia, changanya na 'common sense'. Ni lazima uwe na lengo, sio tu unaoa yeyote tu ati ametoka kwa BWANA. Weka vigezo, then mwombe BWANA.
 

Rose waua x 3. Tuimbe sote.
 
Walimu wake wazuri sana. Tanzania imebahatika kuwa na First Ladies walimu wawili.

1. Maria Nyerere
2. Salma Kikwete

Labda baadaye 2025 (Baada ya Katiba Mpya)
3. Alimuatusile Kashaijabutege
 
safi sana .....
hakuna kitu kinachonifurahisha ka mwanaume kumsifia mkeo ...
Eti eeh, kama ana sifa na hukulazimishwa kumwoa ni lazima apewe stahili yake, apewe big up. By the way kama sikosei umebadili avatar yako ndo kutekeleza ushauri wa Pauline ili wajomba wavutike? Natania tu
 

The best way to understand this is to ask yourself, wewe mwenyewe ukienda coz ya ualim unahisi utabadilika kitabia.. kama ndiyo then OK, kama siyo then OK as well.

But my experience has been very positive kwa walimu wa zamani ambao wengi wao wameshastaafu au wako kwenye 50+ yrs but kwa hao wa under 50 yrs labda naweza kukubaliana na wewe kwa 10% tuu
 

Ndugu yangu wewe upo dunia gani?wewe ni wahapahapa?au?kuna uhusiano gani kati ya ualim na mke mzuri?mimi ni mwalim nimesoma nao hao walimu,most of them ni dust,c wanawake c wanaume,any way mkeo alilelewa kimaadili,tambua hlo,na akayazngatia hayo maadili,so wewe inaonesha ulivokutana naye yeye baaasi,naiman hata mama yako alikua mke mzuri je nae ni mwalimu?kwa kizazi che2 cha leo hata huyo mwalim awe na PhD bado anaweza kukupasua kichwa!WALIMU WENG WALONIFUNDISHA NI DUST TENA HAWAFAI KITABIA,HAO NI WALE WA UPE.
Mshukuru mungu bt usipotoshe umma,watu wakahangaikia walimu,then wajilaumu
 

Thanx rose,mwambie huyo,yeye alibahatisha embe jangwani,mi ni mwalimu na nimesoma nao hao wadada walim hapohapo kwa mkandala,sasa wale ndo wake wa kujivunia?
 
mmmh ss tusio walimu tutadoda mwaka huu,sijui nibadili taaluma!:embarrassed::embarrassed::embarrassed:

huyo mdau ana mtazamo hasi,as a teacher simuung mkono unles alioa miaka ya 70,nimesoma na wadada kibao walim ni dust
 
asante kwa promo sijui ntachagua nani mwaka huu watavomiminika
 
Dah kuna jamaa angu Teller bank moja hivi wanayo tumia sana walimu alimpenda dada mmoja alikuwa kaja kuchukua pesa mwisho wa mwezi na jamaa angu alikuwa na dhamira nzuri tu ya kutangaza nia na aliweka bayana juzi nimekutana nae analia kweli kweli anasema atapata wapi mwanamke wa kumuoa nikamuuliza yule shem ticha vp akasema dah kanigeuza ATM yaani kila siku yeye matatizo hayaishi nikamwambia mkuu alivyo kuona pale Kaunta alijua zile pesa za bank zako au na wewe unamshahara mkubwa. Nikamwambia sasa inakuwaje? akaniambia hapo anaona hakuna love tena ni kuchunana tu
 
Ni imani yangu kuwa kila mtu ana mtazamo wake. kwanza I concur with the sentence, 'MKE MWEMA HUTOKA KWA BWANA'. Pili, maelezo ya Rose yana ukweli asilimia 20. SI walimu wote walifeli, wapo wailoopata first class wakaenda ualimu. Wapo walimu wazuri sana kuwa mke mwema na wapo waliotofauti. Jiwekee vigezo vya kumapata mke mwema.:A S crown-1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…