Kwa ambao hawajaoa, walimu ni wake wazuri...

nilikuwa nadate na mwalimu ambaye kimavazi,muonekano ni mke bora kwani pia ni muhudhuriaji mzuri wa semina za kidini!katikati ya mahusiano alinieleza kama ana mchumba wake..kwakuwa tulitongoza ilikuwa rahisi kuniambia mambo yake mengi nikagundua huyu mwalimu ni kicheche kwani hata avipendavyo katika 6 kwa 6 ni kinyaa kuelezea.....mke mzuri ni aliyeshika dini kisawa sawa!swali je utamjuaje?
 

Mimi naunga mkono hoja hii maana nimeoa mwalimu. Na ninachokipenda zaidi wanajua malezi ya watoto sana. Thanks.
 

NILIANDIKA HIVI:
Hata hivyo, sisemi kuwa wanawake wa taaluma nyingine hawafai kuoa; la hasha. Vivyo hivyo, si kila mwalimu wa kike anakuwa mwanandoa mzuri, ila nasema wengi wao taaluma yao huwapa maadili yanayowafanya wawe wake wazuri.

 


Kama kuna mwanamke mwalimu asiye na sifa nilizozitoa naomba atoe ushuhuda wake. Mliooa walimu kama mimi mnasemaje? I love my wife (Teacher).


Kina mama mliolewa na walimu, je nao ni baba wazuri?



Una akili sana
 
Mmmmhhhh, nimeipenda Avatar yako Rose, yaani inakonyeza vizuri mmmh ........................
 

Muulize Mwaitege (utanitambuaje?)
 
Mke mwema hutoka kwa Mungu!




mmmh ss tusio walimu tutadoda mwaka huu,sijui nibadili taaluma!:embarrassed::embarrassed::embarrassed:

Ndio maana yake!!!!, ukichelewa utakuta mwana si wako.




Muulize Mwaitege (utanitambuaje?)

 
Last edited by a moderator:
Eti eeh, kama ana sifa na hukulazimishwa kumwoa ni lazima apewe stahili yake, apewe big up. By the way kama sikosei umebadili avatar yako ndo kutekeleza ushauri wa Pauline ili wajomba wavutike? Natania tu

hahahahah lol sentensi nzima ukweli mtupu ....
mmmhh hata hiyo ya Pauline ...lol
kwani kuna ubaya gani????
 
nani anafahamu chuo kizuri cha ualimu......naomba anijulishe mara moja tafadhali....bila kuchelewa.

Preta ukishahitimu mafunzo yako ya ualimu naomba uni-PM nije kukuoa, nami nimehamasika kuoa mke mwalimu.
Kitu kimoja ambacho nina uhakika nacho ni kuwa kama ukiwa mwalimu, utaingia kazini saa mbili asubuhi na kutoka saa tisa na nusu, kwa hiyo utapata muda wa kulea watoto wetu, au vipi preta?!
 
Mimi naunga mkono hoja hii maana nimeoa mwalimu. Na ninachokipenda zaidi wanajua malezi ya watoto sana. Thanks.
Tuko pamoja Muacici. Umepata Mama mwema japo kuna watu hawataki tu kukubaliana
 
 

Preta hongera kwa kupata mme. Mshawishi na Rose abadili fani nimtafutie 'jogoo' kama mimi.
 
mmmh ss tusio walimu tutadoda mwaka huu,sijui nibadili taaluma!:embarrassed::embarrassed::embarrassed:

wala usijali, hudodi wala nin! njoo nitakupokea kwa mikono yote miwili maadam umeshagundua kinachosababisha wale wataaluma nyingine kutokupewa credit.
 
Well said aisee,yaani mimi kuna binti mmoja ni mwalimu ninamjua,anakila kigezo cha kuitwa mke/mama,yaani anatabia njema mpaka huawa namuombea kila siku asipate mume mkorofi,yaani anastahili ndoa na si kuchezewa,yaani ingawa anakipato kizuri lkn hana makuu,yeye ni mkufunzi wa chuo kimoja hapa nchini,mabinti wenzake wakimuona wanaona ni mshamba kumbe ni tabia yake tuu ya kujiheshimu,nakubaliana na wewe kwa asilimia zote!!
 
Mke mwema hutoka kwa Bwana. Ina maana wote wenye wake wasio wema wamewapata kutoka kwa nani? Mungu ametupa akili, ili tuzitumie.
 

mh kwa kigezo cha mtu mmoja?
kuna mdada mmoja ivi jaman mweupe anafundsha sheria yaani ana components zote za kuwa mama bora....SO NAWEZA NIKASEMA WANASHERIA WOOOOOOOTE NI WAMAMA WAZURI?
TABIA YA MTU HAIZINGATII FANI.NI INDVDUALY.
NB MUME/MKE BORA ATOKA KWA BWANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…