Kwa ambaye hujaoga au kupiga mswaki zaidi ya siku ya tatu sasa unaweza ukanipa sababu kwanini

Kwa ambaye hujaoga au kupiga mswaki zaidi ya siku ya tatu sasa unaweza ukanipa sababu kwanini

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Ni kama research nafanya nataka kugundua sababu najua wapo baadhi hawajaoga zaidi ya siku tatu sasa
Je NI kwa sababu maji hayatoki umeamua Ku save yaliyobaki
Je NI kwa sababu unaogopa maji ya baridi
Je NI kwa sababu tupo kwenye zoezi kubwa la kuchagua wagombea
Je NI kwasabu pengine upo vitani
Je kwa kuwa hujaona sababu kuoga na kupiga mswaki daily NI scam umegundua kwa kuwa hunuki vibaya wala huna ukurutu kunawa uso kunatosha.naomba jibu
 
mara nyingi sana walevi ndio hupata changamoto ya afya ya akili hali inayowapelekea kutokujali usafi wao binafsi na mazingira

mfano mlevi anaweza kujisaidia haja kubwa kama mbuzi mtaani kisha asubui kusingizia ni vichaa wameyafanya hayo
 
min -me ya kweli hayo au anatafuta kick ndugu yako?
 
Back
Top Bottom