Kwa anaejua chimbo Kali la kitimoto kigamboni

Kwa anaejua chimbo Kali la kitimoto kigamboni

Acha uongo,wadudu wanakufa kwa kupika kwa joto sahihi,sio kupika juu juu tu.
Sasa wataalam wanaposema kwamba hao wadudu wana madhara, unadhani hawajui kama watu wengi wanaipika vizuri, karne hii nani anayekula nyama isiyoiva labda wamasai na jamii nyingine zinazofanana na hiyo
 
Kumbe kenge ana nyama ngumu? BTW kenge analiwa?
Haha yani acha tu kuna watu wanakula asee nina ndugu yangu alienda course ya ukomando anakuambia huko maporini, mnakamata chochote ambacho siyo sumu mnapika mnakula (wanatembeaga na ile mibegi mizito inakuwa na vitu vingi ikiwemo baadhi ya zana za kupikia), siku wakakamata kenge anakuambia kila wakichemsha wakionja hola kitu hakiivi walichemsha masaa nane ndio ikaiva sasa sijui walikamata kenge wa aina gani huyo
 
Pia ni laini na unaweza kula mpaka ngozi...kama kuku tu

Allah Akbar Sheikh,
Na inawafanya mnakua laini hivyo hivyo.
Mtoto wa kiume hata kuvunja biskuti hawezi.

Na mabinti mnapenda wanawake wenzenu.

Hatari sana
 
Sasa wataalam wanaposema kwamba hao wadudu wana madhara, unadhani hawajui kama watu wengi wanaipika vizuri, karne hii nani anayekula nyama isiyoiva labda wamasai na jamii nyingine zinazofanana na hiyo

Umesikiliza wanasayansi wa saudia,china kitimoto ndio nyama kuu inayoliwa nipe hizo case za magonjwa yatokanayo na minyoo wa kwenye nguruwe.

Nyama yoyoye hata ya ngombe usipoivisha vzr lazima utapata minyoo sio kitimoto tu.
 
Fika kituo kinaitwa chagan utakutabpub moja inaitwa aina pub basi hapo kaa kwa kutulia agiza mzigo utaenjoy mwenyewe...... Chagan ni kituo kipo kutoka mnadadi kuja ferry imepakana na kambi ya jeshi upande wa shule ya navy
 
Kwa Dan au sio
 
Umesikiliza wanasayansi wa saudia,china kitimoto ndio nyama kuu inayoliwa nipe hizo case za magonjwa yatokanayo na minyoo wa kwenye nguruwe.

Nyama yoyoye hata ya ngombe usipoivisha vzr lazima utapata minyoo sio kitimoto tu.
Sasa haya maswali muwe mnawahoji hao wataalam, huwezi kupinga tu kienyeji maana tafiti hupingwa kwa tafiti, kitimoto wengi tunakula mkuu lakini kula hakufanyi tufumbie macho madhara yake
 
Back
Top Bottom