Maeneo Yale ni hatari Yan ukiwa barabarani huwa harufu inaskikaFika kituo kinaitwa chagan utakutabpub moja inaitwa aina pub basi hapo kaa kwa kutulia agiza mzigo utaenjoy mwenyewe...... Chagan ni kituo kipo kutoka mnadadi kuja ferry imepakana na kambi ya jeshi upande wa shule ya navy
Ya kuokaRosti ama choma.
Na kitimoto ni nyama nyeupe. Haileti madhara makubwa kama red meat
Hahaha mkuu sio poa kwa ndugu zetu kama huna imani unajikuta unasema nishushe kituo kinachofuata alafu urudi kwa mguu kimya kimyaMaeneo Yale ni hatari Yan ukiwa barabarani huwa harufu inaskika
Hata ingekua black meat tutamla tu
Kaa kwa kutulia mdudu Hana chewWantia hamu....
Kama ni mtumiaji mzuri wa mbuzi wa Vatican basi jenga tabia ya kunywa dawa ya minyoo kila baada ya miezi mitatu. Kuna minyoo hatari ukila nyama ambayo haijapikwa vizuri wanaweza kufika mpaka kichwani kwenye medulla oblongata. Wakifika huko hakuna tiba isipokuwa tu kuimba parapanda! Na unakufa kifo kibaya cha kuehuka na mateso kibao...Kama kuna vijidudu havifi kwa kupikwa tungeathirika wengi. Ila wengi huwa hawapiki vizuri ndio sababu hivyo vijidudu havifi. Nimesikia wana minyoo ya hatari.
Hata awe classified green meat mbuzi wa Vatican hana mpinzani. Upate roast halafu pembeni kuwe na ndizi mbili na jagi la mbege dah! πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Duh kuna jamaa alinisimulia kuwa kuna mzee wao alikuwa anaumwa sana kichwa ikafikia hatua hapa Tz wakataka kumpasua, ndugu wakakataa wakampeleka India. Wanasema alipofika kule akaambiwa ana mnyoo kichwani ila walimpa dawa tu akarudi hadi leo anadunda.. Hii stori niliona kama 'chai' ndio maana sikuiweka mpaka wewe uliposema kuwa mnyoo unaweza kufika hadi huko. Inatisha kwa kweli.Kama ni mtumiaji mzuri wa mbuzi wa Vatican basi jenga tabia ya kunywa dawa ya minyoo kila baada ya miezi mitatu. Kuna minyoo hatari ukila nyama ambayo haijapikwa vizuri wanaweza kufika mpaka kichwani kwenye medulla oblongata. Wakifika huko hakuna tiba isipokuwa tu kuimba parapanda! Na unakufa kifo kibaya cha kuehuka na mateso kibao...
Na huyu watakuwa walimuwahi. Au wana uzoefu na hilo tatizo hilo.Duh kuna jamaa alinisimulia kuwa kuna mzee wao alikuwa anaumwa sana kichwa ikafikia hatua hapa Tz wakataka kumpasua, ndugu wakakataa wakampeleka India. Wanasema alipofika kule akaambiwa ana mnyoo kichwani ila walimpa dawa tu akarudi hadi leo anadunda.. Hii stori niliona kama 'chai' ndio maana sikuiweka mpaka wewe uliposema kuwa mnyoo unaweza kufika hadi huko. Inatisha kwa kweli.
Asante mkuu, ingawa si mlaji sana wa hii kitu ila umenithibitishia na umenipa somo kubwa,ubarikiwe.Na huyu watakuwa walimuwahi. Au wana uzoefu na hilo tatizo hilo.
Kuna jamaa yetu aliondoka mchezo mchezo tu hivi kama utani. Mwishoni kabisa huko kichwa kinamuuma kachanganyikiwa. Daktari mmoja ndo kashtuka kuuliza kama jamaa ni mlaji wa kitimoto. Lakini ikawa too late akafa.
Kula kitimoto mahali ambapo unajua uandaaji wake uko salama yaani inapikwa sawasawa. Vinginevyo kunywa dawa nzuri za minyoo baada ya hapo na/au fanya detox ya tumbo!
πYa kuoka
ππjamani mnanifokea sana..Hata awe classified green meat mbuzi wa Vatican hana mpinzani. Upate roast halafu pembeni kuwe na ndizi mbili na jagi la mbege dah! πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Asante kwa somo zuri DaddyNa huyu watakuwa walimuwahi. Au wana uzoefu na hilo tatizo hilo.
Kuna jamaa yetu aliondoka mchezo mchezo tu hivi kama utani. Mwishoni kabisa huko kichwa kinamuuma kachanganyikiwa. Daktari mmoja ndo kashtuka kuuliza kama jamaa ni mlaji wa kitimoto. Lakini ikawa too late akafa.
Kula kitimoto mahali ambapo unajua uandaaji wake uko salama yaani inapikwa sawasawa. Vinginevyo kunywa dawa nzuri za minyoo baada ya hapo na/au fanya detox ya tumbo!
Eheeeπ³π³π³Kama ni mtumiaji mzuri wa mbuzi wa Vatican basi jenga tabia ya kunywa dawa ya minyoo kila baada ya miezi mitatu. Kuna minyoo hatari ukila nyama ambayo haijapikwa vizuri wanaweza kufika mpaka kichwani kwenye medulla oblongata. Wakifika huko hakuna tiba isipokuwa tu kuimba parapanda! Na unakufa kifo kibaya cha kuehuka na mateso kibao...
Shukrani sana kwa masahihisho ila Si unaona hata kiwango cha hiyo myoglobin imelinganishwa kwa kuku na samaki. Hapo kuna jambo ππ
Wale wa "kisikauke sana", kuna jambo la kujifunza hapaNa huyu watakuwa walimuwahi. Au wana uzoefu na hilo tatizo hilo.
Kuna jamaa yetu aliondoka mchezo mchezo tu hivi kama utani. Mwishoni kabisa huko kichwa kinamuuma kachanganyikiwa. Daktari mmoja ndo kashtuka kuuliza kama jamaa ni mlaji wa kitimoto. Lakini ikawa too late akafa.
Kula kitimoto mahali ambapo unajua uandaaji wake uko salama yaani inapikwa sawasawa. Vinginevyo kunywa dawa nzuri za minyoo baada ya hapo na/au fanya detox ya tumbo!
Karibu sana.tuache utani pork ni habari nyingine halooππShukrani sana kwa masahihisho ila Si unaona hata kiwango cha hiyo myoglobin imelinganishwa kwa kuku na samaki. Hapo kuna jambo ππ
Dawa ya minyoo yoyote tu mkuu. Mimi sio mlaji sana ila nataka kujua maana kuna sehemu unaweza kula labda cha kuokwa na hakikukaushwa vizuriKama ni mtumiaji mzuri wa mbuzi wa Vatican basi jenga tabia ya kunywa dawa ya minyoo kila baada ya miezi mitatu. Kuna minyoo hatari ukila nyama ambayo haijapikwa vizuri wanaweza kufika mpaka kichwani kwenye medulla oblongata. Wakifika huko hakuna tiba isipokuwa tu kuimba parapanda! Na unakufa kifo kibaya cha kuehuka na mateso kibao...
Kuna ile kitimoto inapikwa inakauka kama jabali hiyo hapana aise.Wale wa "kisikauke sana", kuna jambo la kujifunza hapa