Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Nilichogundua wananchi wengi wanaoipenda CCM ni kwasababu ya Magufuli. Sasa hapa ndio pana mtihani. Nadhani mnakumbuka jinsi walivyokuwa wakimuaga kwa shangwe.
Sasa nimegundua kuna uwezekano mkubwa tayari watanzania wameanza kuigeuka CCM. Na hii ni kwasababu tu viongozi wameanza kwenda kinyume na yale alio yaacha Magufuli.
Sasa basi 2025 itakua ni hatari sana kwa CCM kama wakishindwa kufuata yale wananchi wanayataka.
Chukueni hatua dalili zote zinaonyesha tunakoelekea sio kuzuri.
Ndugu zangu nisiwafiche huyu Magufuli huyu anapendwa. Historia yake haiwezi kufutika ndani ya mioyo ya hili kundi kubwa la Watanzania.
Ile kauli yakusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya Watanzania inamaana kubwa sana.
Na hapa ndio tumeanza kuona waziwazi maana ya hiyo kauli.
Jamani ni hayo tu.