1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,307
Umenikumbusha uchaguzi wa mwaka Jana.
Kuna watu walianza kampeni kwa mikwala mizito,wakiwa wamesimama, wakakaa , wakachuchumaa, mwishowe wakapiga magoti.
Wakatumia vyombo vya madola ili waepuke aibu ya kupiga kugalagala chini.
Dola ikawasaidia kutwaa ushindi.
Mungu akatoa matokeo aliyoona yanafaa kwa wakati wake.