Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,812
- 6,327
Reality jamaa ana wafuasi wengi kuliko wapinzani wake. Kuna watu wana akili na pesa kuliko wewe na bado walimpenda.Waliompenda Magufuli ni hawa wafuatao:
1.wana CCM wengi(si wote)
2.Wafanyakazi ambao elimu yao hairidhishi
3.Viongozi wa serikali aliowateua km ma DC, watumishi wa NEC....na watoto wao
4. Wajinga(wasiojua kusoma na kuandika,au wenye shida ya akili)