Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Kwani lini uliwahi kumuona ana nia ya kudhibiti ubadhirifu?Bado najiuliza hivi kama hata Uncle Magu kashindwa kudhibiti ubadhirifu kweli kuna atakayeweza?
Ngoja tuone hizo report zinawapeleka wapi. Hivi kwa unavyo wajua Watanzania wale waliokua wanaruka ukuta pale uwanjani watazikubali hizo report?Bado najiuliza hivi kama hata Uncle Magu kashindwa kudhibiti ubadhirifu kweli kuna atakayeweza?.
Nia alikuwa nayo labda tatizo lilikuwa "how".Kwani lini uliwahi kumuona ana nia ya kudhibiti ubadhirifu?
Sasa nimegundua kuna uwezekano mkubwa tayari watanzania wameanza kuigeuka CCM. Na hii ni kwasababu tu viongozi wameanza kwenda kinyume na yale alio yaacha Magufuli.
Angekua na nia angeanza kumdhibiti CAG Assad? Angekua na nia hio angemwambia CAG Kichere asijifanye na yeye ni mhimili?Nia alikuwa nayo labda tatizo lilikuwa "how".
Labda mumeo ndio ataukumbuk
Hii CCM ya Magu ilikuwa sawa na kile chama cha CCJ, lakini tambua CCM ni zaidi unavyoifikiria wewe hususan kwenye uchaguzi.Nilichogundua wananchi wengi wanaoipenda CCM ni kwasababu ya Magufuli. Sasa hapa ndio pana mtihani. Nadhani mnakumbuka jinsi walivyokuwa wakimuaga kwa shangwe.
Sasa nimegundua kuna uwezekano mkubwa tayari watanzania wameanza kuigeuka CCM. Na hii ni kwasababu tu viongozi wameanza kwenda kinyume na yale alio yaacha Magufuli.
Sasa basi 2025 itakua ni hatari sana kwa CCM kama wakishindwa kufuata yale wananchi wanayataka.
Chukueni hatua dalili zote zinaonyesha tunakoelekea sio kuzuri.
Ndugu zangu nisiwafiche huyu Magufuli huyu anapendwa. Historia yake haiwezi kufutika ndani ya mioyo ya hili kundi kubwa la Watanzania.
Ile kauli yakusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya Watanzania inamaana kubwa sana.
Na hapa ndio tumeanza kuona waziwazi maana ya hiyo kauli.
Jamani ni hayo tu.
jizi kama mijizi mingine, au kupita mijizi mingine. maana lilikuwa jizi choyo. Lilitaka kunufaika lenyewe tu.Angekua na nia angeanza kumdhibiti CAG Assad?Angekua na nia hio angemwambia CAG Kichere asijifanye na yeye ni mhimili?
Yule alikua mpigaji kama wenzake tu,hakuwahi kua na nia hata kidogo.
R.I.P Bensaanane!Hata PHD yake ilimshinda,,
Alichoweza kiziba midomo watu wasiseme,,, na kutokusema sio walikuwa hawajui.
Ungesemea wapi kwa mfano
Mnapiga dili afu linataka mgao wote pekee yake 😂😂jizi kama mijizi mingine, au kupita mijizi mingine. maana lilikuwa jizi choyo. Lilitaka kunufaika lenyewe tu.