1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,307
Nilichogundua wananchi wengi wanaoipenda CCM ni kwasababu ya Magufuli. Sasa hapa ndio pana mtihani. Nadhani mnakumbuka jinsi walivyokuwa wakimuaga kwa shangwe.
Sasa nimegundua kuna uwezekano mkubwa tayari watanzania wameanza kuigeuka CCM. Na hii ni kwasababu tu viongozi wameanza kwenda kinyume na yale alio yaacha Magufuli.
Sasa basi 2025 itakua ni hatari sana kwa CCM kama wakishindwa kufuata yale wananchi wanayataka.
Chukueni hatua dalili zote zinaonyesha tunakoelekea sio kuzuri.
Ndugu zangu nisiwafiche huyu Magufuli huyu anapendwa. Historia yake haiwezi kufutika ndani ya mioyo ya hili kundi kubwa la Watanzania.
Ile kauli yakusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya Watanzania inamaana kubwa sana.
Na hapa ndio tumeanza kuona waziwazi maana ya hiyo kauli.
Jamani ni hayo tu.
Huo ni ukweli kila kiongozi ajitathmini vyema.
JPM Kaacha kitu mioyoni mwa watanzania.
Ngoja tuone hizo report zinawapeleka wapi. Hivi kwa unavyo wajua Watanzania wale waliokua wanaruka ukuta pale uwanjani watazikubali hizo report?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ngoja tuone
Hao viongozi unaosema wameanza kumgeuka ni kwamba wanaujua ukweli kwamba jamaa alikuwa msaanii tu na mwizi sasa nyie vilaza mliodanganyika na fiksi zake ndio endeleeni kumuunga mkono .Nilichogundua wananchi wengi wanaoipenda CCM ni kwasababu ya Magufuli. Sasa hapa ndio pana mtihani. Nadhani mnakumbuka jinsi walivyokuwa wakimuaga kwa shangwe.
Sasa nimegundua kuna uwezekano mkubwa tayari watanzania wameanza kuigeuka CCM. Na hii ni kwasababu tu viongozi wameanza kwenda kinyume na yale alio yaacha Magufuli.
Sasa basi 2025 itakua ni hatari sana kwa CCM kama wakishindwa kufuata yale wananchi wanayataka.
Chukueni hatua dalili zote zinaonyesha tunakoelekea sio kuzuri.
Ndugu zangu nisiwafiche huyu Magufuli huyu anapendwa. Historia yake haiwezi kufutika ndani ya mioyo ya hili kundi kubwa la Watanzania.
Ile kauli yakusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya Watanzania inamaana kubwa sana.
Na hapa ndio tumeanza kuona waziwazi maana ya hiyo kauli.
Jamani ni hayo tu.
[emoji3][emoji3] pole jingalao kwa naumivu maandiko yanasema alaaniwe amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kimbilio lake, nakuona tu unawasiwasi wa kutibuliwa ugali wakoHuo ni ukweli kila kiongozi ajitathmini vyema.
JPM Kaacha kitu mioyoni mwa watanzania.
Asante Mkuu! Mimi niko hapa nakula Ndizi Maharagwe kidogo nitapike.Uharo mtupu umeandikwa hapa.
Pamoja na ubovu wao na madudu yao hao ccm wapo sana... Katiba iliyopo ni ya chama kimoja (ccm). Vyombo vya dola ni vyao... Watumishi ni wao... Wasimamizi wa uchaguzi ni wao...Atakaye bisha abishe tu ila huo ndio ukweli
Nilichogundua wananchi wengi wanaoipenda CCM ni kwasababu ya Magufuli. Sasa hapa ndio pana mtihani. Nadhani mnakumbuka jinsi walivyokuwa wakimuaga kwa shangwe.
Sasa nimegundua kuna uwezekano mkubwa tayari watanzania wameanza kuigeuka CCM. Na hii ni kwasababu tu viongozi wameanza kwenda kinyume na yale alio yaacha Magufuli.
Sasa basi 2025 itakua ni hatari sana kwa CCM kama wakishindwa kufuata yale wananchi wanayataka.
Chukueni hatua dalili zote zinaonyesha tunakoelekea sio kuzuri.
Ndugu zangu nisiwafiche huyu Magufuli huyu anapendwa. Historia yake haiwezi kufutika ndani ya mioyo ya hili kundi kubwa la Watanzania.
Ile kauli yakusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya Watanzania inamaana kubwa sana.
Na hapa ndio tumeanza kuona waziwazi maana ya hiyo kauli.
Jamani ni hayo tu.
kichwani mwako umeweka huo utoporo endeleza kuamini hivoAtakaye bisha abishe tu ila huo ndio ukweli
unamzungumzia yule marehemu ambaye alijinasibu kuwa "ktk utawala wake hakuna pesa itakayo potea"Nilichogundua wananchi wengi wanaoipenda CCM ni kwasababu ya Magufuli. Sasa hapa ndio pana mtihani. Nadhani mnakumbuka jinsi walivyokuwa wakimuaga kwa shangwe.