Kwa analysis niliyofanya, CCM wasipokuwa makini 2025 watanyang'anywa nchi

Reality jamaa ana wafuasi wengi kuliko wapinzani wake. Kuna watu wana akili na pesa kuliko wewe na bado walimpenda.
 
Ngoja tuone hizo report zinawapeleka wapi. Hivi kwa unavyo wajua Watanzania wale waliokua wanaruka ukuta pale uwanjani watazikubali hizo report?
😁😁😁😁😁😁😁😁😁ngoja tuone
Hivi unawajua waTZ wwe? Sahvi tu wameshasahau bando wanaongelea CAG.
 
Mimi ni kati ya wapiga maombi siku zote ya kutaka ccm kutoka madarakani. Ila nimesikitishwa na kauli yako eti 'magufuli anapendwa'!!

Kama kuna mtu anampenda kweli kwa kiwango hicho, ajitoe uhai wake kwanza na aache kikaratasi kidogo chenye maelezo ya sababu ya kujitoa uhai.

Kinyume na hapo,nitaamini tu hao ni wanafiki na waimba mapambio.
 
Umetumia njia ipi? Ripoti ya sieijii au? #mniombee!!
 
Sukuma gang
 
Mkuu,Mimi nilikua nikiomba kwa huzioni yule bwana atoke madarakani kwa njia yoyote Ile ambayo Mungu angependa.
Nilifurahi mno.
 
Wewe unampenda kweli?
Si ajabu hata msibani Chato hukuenda.
 
Mbona Hayati aliwaweka wote mfukoni na hamkufurukuta? Akaleta watu wake KM na Polepole akawaajiri mlihoji? Walikuja watu kutoka nje wakagombea ndani ya chama kwa maelekezo kutoka juu bila hata kuwa wanachama mlihoji? Hahah acha viroja dada.
 
Sukuma gang
Kwa kipindi cha muda mrefu nilikuwa nakufuatilia ili nijidhirishe nikuoe + nilete kwenu mahari ila sasa nimeahirisha....

Nahisi utanijeuka

 
Kweri kabisa mkuu mm binafisi nimeanza kuichukia ccm kabisa nimegundua kumbe wengi wao ni wanafiki sana,na wana jari sana matumbo yao,kwa nini mara baada ya magufuli kufa wameanza kugeuka tena wengine wana sema eti rais arishauliwa vibaya, swali alishauliwa na akina nani vibaya na kwa nini hawakuchukua hatua ili kuikomboa inchi? Natamani chama chochote cha upinzani kishike inchi tu tuone na wao wataisaidi je tz yetu.
 
Labda wewe na familia yako.

Ngojeni Samia awanyooshe maana mlizoea kula bure.


Wewe una kipi Kati ya pesa na akili????
Tatizo lenu mna feelings sana. Time will tell na narudia tena wapo wengi na wanakuzidi pesa na akili.
 
Angekua na nia angeanza kumdhibiti CAG Assad? Angekua na nia hio angemwambia CAG Kichere asijifanye na yeye ni mhimili?

Yule alikua mpigaji kama wenzake tu, hakuwahi kua na nia hata kidogo.
Hakuna mtu ambayo si mpigaji, wanatofautiana level za kupiga. Hao wengine walikuwa hawapigi bali wanachukua zotee kabisa
 
CCM ya sasa wakiungana na wapinzani wote waliopo hawawezi kufikia hata nusu ya mambo aloacha JPM
 
Basi CCM wakinyang'anywa nchi CHAUMA wachukue nchi.

Hivi huu mtafaruku ni kwasababu ya ripoti ya CAG au? Ingekuwa vyema mkatuambia uongo na ukweli kwenye hiyo ripoti nasie tujue sio kutabiri tu na kulaumu.
 
Sitaki kuamini kuwa unatumia kichwa/ubongo kufikiri. Yani wewe ni mweupe pee...Pumba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…