Kwa analysis niliyofanya, CCM wasipokuwa makini 2025 watanyang'anywa nchi

Hakuna mtu ambayo si mpigaji, wanatofautiana level za kupiga. Hao wengine walikuwa hawapigi bali wanachukua zotee kabisa
Kama huyo jamaa alikua mpigaji aliyekubuhu afu anawaziba midomo wenzake huku akijisemesha eti "Nime sacrifice maisha yangu kwa ajili yenu".

Wizi mtupu.
 
Tatizo lenu mna feelings sana. Time will tell na narudia tena wapo wengi na wanakuzidi pesa na akili.
Hao wote walikuwa wananufaika na udhalimu wa Magufuli.

Hawanizidi akili.Akili unazijua wewe?Zinakaa wapi?
 
Angekua na nia angeanza kumdhibiti CAG Assad? Angekua na nia hio angemwambia CAG Kichere asijifanye na yeye ni mhimili?

Yule alikua mpigaji kama wenzake tu, hakuwahi kua na nia hata kidogo.
He was totally devil
 
CCM ya sasa wakiungana na wapinzani wote waliopo hawawezi kufikia hata nusu ya mambo aloacha JPM
Nakubali ile roho ya kuwapa watu wasio na hatia makesi ya uhujumu uchumi mpk watu wanafia ndani hakuna mtu anaweza kua nayo zaidi yake yeye.
 

unaota sio?
 
Kwa Tume hii ya sasa na sheria zetu za sasa, ni ndoto CCM “kunyang’anywa” Nchi
 
Sawa kabisa. Kwa mfano ni chama kipi icho kitakachoitoa CCM madarakani 2025?
Ni kweli ccm haiwezi kutoka kirahisi kwa sababu moja tu kwamba upinzani tulionao ni dhaifu sana, hatuna vyama vya kupambania dola bali ni uanaharakati tu.
Mama inabidi afanye kazi ya kukirudisha chama, tayari kuna mipasuka iliyotibiwa imetoneshawa upyaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Itakuwa vizuri Chauma tunachukua nchi, asante mleta siredi
 
najuuliza aliposema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya Watanzania kwa lipi wakati uwizi kila kona kwenye ripoti ya CAG
 
Mbona Sana ameiba Sana kwa mujibu wa cag? Ile kauli alikuwa anawazuga wamachinga tu ambao ni mbumbumbu hawajui lolote. Watanzania wameshajua alikuwa mwizi. Isikutishe

Nadhani mkuu uliona mwili wake ulivyopokelewa na makundi ya watu na wengine wanazimia. Huyo mtu atawayesa sana
Wewe unampenda kweli?
Si ajabu hata msibani Chato hukuenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…