Kwa analysis niliyofanya, CCM wasipokuwa makini 2025 watanyang'anywa nchi

Mipasuko haikosagi kwenye vyama komavu.
Kikubwa uwa watu wanakaa kuzungumza na yanakwisha.
Alafu ni uzushi tu wa mitandaoni akuna mpasuko kiasi hicho kinachosemwa mpaka CCM waachie nchi.
 
Hata ipite miaka 2000 mingine ili mradi kiwango kikubwa cha wananchi ni walewale wenye elimu ya kutilia shaka, ujinga na umasikini wa kiwango cha juu.

Basi chama kilichopo madarakani sasa hivi kitabaki milele madarakni.
 
Wacha baadhi ya wanaotaka kupata reputation kisiasa washindane ila wataaibika soon sababu they are not real.
 
Kwani lini uliwahi kumuona ana nia ya kudhibiti ubadhirifu?
Kweli ndugu. Kwanini aliwadhibiti wapiga filimbi kama kweli alitaka kudhibiti wala rushwa. Vita ya peke yako itakuwa ngumu sana na usipotaka wakukusaidia kumbaini adui basi wewe ni mamluki usiyetaka kushinda hiyo vita.
 
Mama tunampa miaka 20 hakuna ubishi na hilo hakuna wa kuhamisha hilo!
 


Usocheze na mtu anayeitwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.
Achana kabisa na ndoto za alinacha.
Musimchukulie mama poa kabisa. Au mnataka waanze kuwanyakua mmoja baada ya mwingine kama nyie mlivyowafanyia wenzenu wakati wa zamu yenu?
Ni zamu ya mama sasa mwacheni atimize majukumu yake kisheria na kistarabu. Lakini mkianza kumtisha kwenye vikao vya chama ni lazima sasa iwe jino kwa jino. Hakuna atakayemtisha Rais wa nchi halafu achekewe. Kama mlikua mnamuheshimu yule wa zamani kama rais basi muheshimu na Mama Samia kama Rais ,lakini kama mlimuheshumu kwa woga basi mtalazimishwa kwa nguvu ya aina yogote ile kumheshimu.

Mmepewa ubunge,udiwani,na nafasi zote za seriakali za mitaa kwa dhulma mnafikiri ndiyo halali na haki. Hofu yenu ni kurejea kwa haki na utawala wa sheria jambo litakalpwatoa waovu kwenye madaraka na uongozi.

Tulieni mama awanyooshe kwa haki. Mlizoea haramu ya kunyonga sasa kaja mchinjaji mnaona anawachelewesha kula vibudu mlivyozoea kunyonga.
 
Ngoja tuone hizo report zinawapeleka wapi. Hivi kwa unavyo wajua Watanzania wale waliokua wanaruka ukuta pale uwanjani watazikubali hizo report?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ngoja tuone
sio kazi yao kukubali report. zile ni cheki and balance za serikali yenyewe
watakao ifanyia kazi ni serikali yenyewe. ww kajamba nani huku chini utabaki kuangalia tu
 
Ngoja tuone hizo report zinawapeleka wapi. Hivi kwa unavyo wajua Watanzania wale waliokua wanaruka ukuta pale uwanjani watazikubali hizo report?
😁😁😁😁😁😁😁😁😁ngoja tuone
report zipi? report za nini/lini? Hueleweki
 
1.Hizo kura zinahesabiwa na nani mpaka ccm wakubali kuachia nchi?

2.Polisccm watakuwa wapi wakati huo wa kuhesabu kura?

3.Msimamizi wa kituo cha kupigia kura ni mkurugenzi wilaya then unataka matokeo!!!

4.Wapiga dili (majambazi ya kuiba pesa za uma watakubali vip nchi iende kwenye chama kingine?

5.La nyongeza kama ulikuwa huelewi iko hivi majambazi yanayo iba pesa za uma wakati wa uchaguzi wao ndio wanateuliwa kuwa kwenye kamati ya ushindi ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…