Kwa anavyoonekana Paul Kagame ni mgonjwa?

Kwa anavyoonekana Paul Kagame ni mgonjwa?

Huyo alivyo mwembamba kuugua labda Malaria na mafua tu.
....hapana!

Mosi, ile tembea alivyoshuka kwenye gari si ile tembea yake iliyozoeleka.

Pili, siku zote PK ashukapo kwenye gari huwa mchangamfu na wakati mwingine hutembea kwa mdano fulani hivi wa kisera!

Tatu, huwa ni nadra sana kuendeshwa anapohudhuria eneo lenye uchache wa watu.
 
Ajitahidi nchi ipate mrithi angali ananguvu bado, mambo ya kufia ofisini kisha nchi inapasuka sio sawa kabisa.

Museveni ameshaharibu, toto lake linataka nchi, yeye mwenyewe anajua kuwa lile jamaa ni kiazi lakini ndio hivyo tena, ameshachelewa.

Itakuwa balaa Rwanda na Uganda kote kukivurugika baada ya hawa wazee kuondoka.
 
Back
Top Bottom