INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

Mkuu upo deep sana, na umemweleza ukweli mtupu. Games store si mchezo, maana PS lazima uanzie kidogo 4 ambayo bei imechangamka iwe used / new.. kuna Pads na kuharibika ni kugusa tu, flat tv's / screens, computer, bado games zenyewe kuzipata bei yake au kudownload mengine yana gb za kutosha unaeza kaa siku 3 halijamaliza kudownload, kodi ya chumba cha biashara, umeme, usafi, osha, tra, bado hujagombana na wenyeviti wa mtaa na wazazi unaharibu watoto / wanafunzi n.k rahisi kuiona watu wanaifanya / kukuta vitoto vinacheza ukaichukulia kawaida, ila uwekezaji wake si mchezo, na pesa ipo sio ya mawazo, kuna watoto wa kiarabu wakipajua wanakuja kushinda siku nzima wanacheza, ukiweka na juice, sijui crips na vidude dude vingine utazikimbia hela aisee
 
Jamaa ni lecture wa chuo cha mipango hapo dom
 
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu
unakuta mtu anatumia window 10 au 11 halafu bado ka instal antivirus zingine kwenye mashine,nashindwaga elewa hasa anakua anatafuta nini,ni fashion au ni security TU.

Kuna mteja wangu yeye ni mbishi Laptop yake bila Kaspersky humwambiii kitu anahisi bado haijakamilika kabisa, akijaga nalamba 100k yake natia mfukoni halafu namuekea TRIAL lake la 90days...
 
Yaaap na alteza alikuwaga supervisor wangu aseeeeee nlienjoy ni bonge la mtu aseeee
Mtu akishakua na pesa akiwa hana shida ndogo ndogo Hata kama afanye kazi ya kubeba zege watu mlio karibu nae lazima mtasema mwana ana roho nzuri sanaa,maana n kweli ukishakua na hela automaticaly shetani anaendaga mbaliiiiii kuna karoho flan ka upendo amani kwa wengine kanakujaga automaticaly.
 
mengine yana gb za kutosha unaeza kaa siku 3 halijamaliza kudownload


Hayo ni baadhi kama ni movie tunasema hizo ni trailer, kama ni chakula tunasema hapo umeonjeshwa TU.

Mziki ni pale setup ya game unakuja kukuta ishaliwa na virus au ime corrupt means unatakiwa udownload Upyaaaa,Hii biashara kwanza ukiifanya nadhani

Hutakiwi kuwa na Hasira za karibu
Hutakiwi kuwa na Ugonjwa wowote wa Moyo
Hutakiwi kuwa na Afya legelege yani uwe physicaly and mentaly FIT.

Otherwise ni biashara flani ambayo unaamka unawambia watoto wajiandae jioni tukirudi tunaenda OUT na mfukuni wakati huo huna hata sumni,ila kitendo chakufungua ofisi kukaa masaa kadhaaa wallet ina majibu ya out ikalike Serena au Kempiski...
 
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetisha sana chief..
 
Ndio yale ulikuwa unasema halafu anakuja mteja na elfu 2 anakwambia naomba game dah, ila ni biashara yenye pesa sana basi tu, yaani umekaa tu ila unapiga hela kwa siku mtu wa duka la rejareja akaroge kukufikia na wala huna hata kazi ngumu [emoji23]
 
Bob paak ana branch yake pale Survey, dah ule uwekezaji wake sio wa kitoto, jamaa kujipanga haswa
 
Umenifumbua macho, siku zote najua B. O. B ni Nyandu Tozz, kumbe ni Vunja Bei [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…