Yaani ,badala ya kuwa movie store iwe games store (iwe na collection zote za games)
INAWEZEKANA,
Games store huwezi kuwa na Computer pekee,kwasababu si games zote wateja wanaenda chezea kwenye computer,61% wateja wa games wanaenda chezea kwenye PS.
Kwahiyo itakubidi kwenye games store yako unapoifungua uwe na PS humo ndani za kuchezeshea games na kuelekeza wateja mawili matatu kuhusu games wanazochukua kwako.
Mteja anaweza kuja kwako kutaka game ya PES lakini akakuta unaplay Call of DUTY akalipenda ila hajui licheza, hivyo n wajibu wako kumuelekeza chap chap basic step za kulicheza call of duty.
Baada ya hapo atanunua yote mawili PES + Call of Duty,ila mwanzo alikuja na wazo la kufata game 1 tu lkn umemshawishi kwasabbu amekuta PS ndani ina call of duty,akashawishika.
GAMES STORE nadhani ni ya kibabe zaidi na niwachache wenye nazo Nimekagua kagua nikagundua wengi waliopo wanachezesha Games,yani wana PS za kutosha humo ndani ila hawana Games za kuuzia wateja.
Na wakiwa nazo ni zile games ambazo tu wanachezesha wao.ila kwakua wewe unafungua GAMES STORE na lengo lako hasa si kuchezesha bali kuuza GAMES nadhani wale wenye PS wachezesha watu Games wote watakua wateja wako,ki ufupi kufupisha Maelezo GAMES STORE ni ya KIBABE SANA
LAKINI
Games Store si kama Movie Store,movie store unaweza anza hata na 50k ila Games Store mtaji wake BABA acha kazi ufanye kazi,watu nimewatajia 4M wanatafutana,GAMES store mtaji wake N malaika tu wa mbinguni ajuae.
Computer ya MOvie store si sawa na ya Gamer
Computer ya Gamer mpk inakamilika kucheza Games zote (bei yake n moto fire)
Ki ufupi GAMES STORE sio rahisi kama MOVIE STORE but
the more the cost the more the Profit.. Games Store n biashara ya ki boss sana Mkuu usi i underestimate hata kidogo,usije ukawa na ka 1M kako ukaanza fikiria kufungua Games Store utasingizia watu wamekuloga. 1M hata mashine tu ya GAMER haitoshi so JIPANGE kabla hujadumbukia eneo hilo.