Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekutumia pm BOSSSASA MBON HUJAWEK NO YA SIMU TENA?? MM NATAK NAKUTAFTAJE UMENZNGUA BOSSS
Huko pia nitaendea Mkuu,kuna vitu navikamilisha vikiwa 100% straight basi Nitaanza kuuza ONLINE, ni wazo zuri ila ili ulifanye kwa ufanisi yahtaji maandalizi yakutosha na gharama pia.Mkuu hujawahi kuwaza hii ya kuuza online hasa kwa link ama telegram, maana naona hii kama ipo vizuri pia, hasa kwa hizi movie zilizoingizwa maneno ya kiswahili. Maana huwa unanunua mzigo kila wiki wa ofisi, hivyo inakuwa kama unakaba kote. Mfano huyu castillarmovies jamaa yeye anauza online tu promo zake naziona kwenye pages mbalimbali za public figures.
Karibu sanaSafi sana kijana
Njoo PM tuwasiliane zaidinipo dar mkuu,(mbezi mwisho)
sawa mkuuNjoo PM tuwasiliane zaidi
hiyo hdd bado ipo..na ni nzima ?Mwenye anahitaji 3TB desktop HDD ipo nauza 140,000
👇hiyo hdd bado ipo..na ni nzima ?
SOLD OUT
Wewe uko wapi?Binafsi nina computer na mzigo wa 4TB ila kwa sasa sina nafasi ya kuisimamia hii kazi, labda miezi kama minne baadae. Tatizo ni kwamba vijana hawaaminiki sina imani kabisa ya kumwachia mtu vifaa vyangu/ofisi, nimeshuhudia mara kibao wakiwarudisha watu nyuma kwa kuiba vifaa. Naomba ushauri katika hili
Wazo lako zuri nimelifanyia kazi liminipa matokeo mazuri nimepata Tb 2 mtaani kwa gharama ndogo sana ukiongea vyema hakuna kinachoshindikana asante ndugu.Punguza ukali kidogo Mzee.
Movies hizi hizi ambazo Vijana wenzako wanadownload telegram?
Tb 60 za nini?
Movies hizi hizi ambazo ukienda na teni Tb5 kijana hana hiyana anakukopia almostly everything kwa computer yake?
Hili wazo lako linafanya kazi vyema ila kama utachonga nao vyema mtaani kila kitu kinawezekana nimefanikiwa kupata Tb 2 kwa gharama ndogo sana maana tunaangalia jinsi ya kupunguza gharama kabla ya kuanzisha mradi wa movie store.Kama ofisi unayo tayari kila kitu kipo laki nne na hamsini weka akiba nenda KWA kijana yeyote na 50k anza na thirty bargain unapewa mzigo wa kuzidi wenyewe wanaita au kushanta
Mbona mimi nimeweza sema watu wanaogopa kujaribu nimeenda mtaani nikaongea vyema nikapata Tb 2 kwa 20000 inawezekana tena anafunguka kila kitu kuhusu hii biashara itategemea umejenga ukariburi kwa namna gani ila inawezekana Ndugu.Usimdanganye mwenzako mkuu, Uongo ni dhambi
kwa kuanzia ili kupunguza gharama unaweza kuanzia kitaa ukakusanya mzigo kutoka kwa wadau tena kwa kiasi kidogo cha pesa alafu baadae ukajiunga na faiba au zuku ili kuongeza stock yako ya muvi nimejaribu imewezekana kupitia kitaa.Laki 5 yote hiyo wakati unaweza kodi frame KKOO hata ndani ndani huko kwa 200K kwa mwezi ukaunga Faiba au Zuku ya 200K kwa mwezi ukadownload hadi uchoke
kitaa ukikomaa kwa wadau inawezekana kwa kuanzia ili kupungunza gharama maana nimepata Tb2 sipo kwaajili ya kuaribu biashara ya mtu mawazo niliyatoa humu kutoka kwa mdau mmoja mwanzo wa uzi inawezekana kama utajenga mazingira mazuri kitaa kwa wadau asante.Anafanya vitu watu wavione vigumu ili kuwatisha watu!hii si sawa bhana
Nipo Dar es salaamWewe uko wapi?
Kwanza mkuu lazima akili yako ifahamu kuwa hii kazi kama huifanyi wewe kuibiwa ni lazima (sio ombi)Binafsi nina computer na mzigo wa 4TB ila kwa sasa sina nafasi ya kuisimamia hii kazi, labda miezi kama minne baadae. Tatizo ni kwamba vijana hawaaminiki sina imani kabisa ya kumwachia mtu vifaa vyangu/ofisi, nimeshuhudia mara kibao wakiwarudisha watu nyuma kwa kuiba vifaa. Naomba ushauri katika hili