INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

Mkuu hujawahi kuwaza hii ya kuuza online hasa kwa link ama telegram, maana naona hii kama ipo vizuri pia, hasa kwa hizi movie zilizoingizwa maneno ya kiswahili. Maana huwa unanunua mzigo kila wiki wa ofisi, hivyo inakuwa kama unakaba kote. Mfano huyu castillarmovies jamaa yeye anauza online tu promo zake naziona kwenye pages mbalimbali za public figures.
Huko pia nitaendea Mkuu,kuna vitu navikamilisha vikiwa 100% straight basi Nitaanza kuuza ONLINE, ni wazo zuri ila ili ulifanye kwa ufanisi yahtaji maandalizi yakutosha na gharama pia.
 
Wale mnaotaka kuanza biashara si lazima muanze na ma HARD DISK MAKUBWA, unaweza kuanza hata kwa hard disk ndogo ndogo tu.

Kwa walio serious na kazi mnaweza kuanza atleast na 1tb inatosha sana kuanza kwa shida shida.

Anza na ulichonacho usisubiri mpaka uwe na HARD DISK kubwa.

Muhimu uwe na computer,mengine yote ni kupambana tu.
 
Binafsi nina computer na mzigo wa 4TB ila kwa sasa sina nafasi ya kuisimamia hii kazi, labda miezi kama minne baadae. Tatizo ni kwamba vijana hawaaminiki sina imani kabisa ya kumwachia mtu vifaa vyangu/ofisi, nimeshuhudia mara kibao wakiwarudisha watu nyuma kwa kuiba vifaa. Naomba ushauri katika hili
 
Binafsi nina computer na mzigo wa 4TB ila kwa sasa sina nafasi ya kuisimamia hii kazi, labda miezi kama minne baadae. Tatizo ni kwamba vijana hawaaminiki sina imani kabisa ya kumwachia mtu vifaa vyangu/ofisi, nimeshuhudia mara kibao wakiwarudisha watu nyuma kwa kuiba vifaa. Naomba ushauri katika hili
Wewe uko wapi?
 
Punguza ukali kidogo Mzee.

Movies hizi hizi ambazo Vijana wenzako wanadownload telegram?

Tb 60 za nini?

Movies hizi hizi ambazo ukienda na teni Tb5 kijana hana hiyana anakukopia almostly everything kwa computer yake?
Wazo lako zuri nimelifanyia kazi liminipa matokeo mazuri nimepata Tb 2 mtaani kwa gharama ndogo sana ukiongea vyema hakuna kinachoshindikana asante ndugu.
 
Kama ofisi unayo tayari kila kitu kipo laki nne na hamsini weka akiba nenda KWA kijana yeyote na 50k anza na thirty bargain unapewa mzigo wa kuzidi wenyewe wanaita au kushanta
Hili wazo lako linafanya kazi vyema ila kama utachonga nao vyema mtaani kila kitu kinawezekana nimefanikiwa kupata Tb 2 kwa gharama ndogo sana maana tunaangalia jinsi ya kupunguza gharama kabla ya kuanzisha mradi wa movie store.
 
Usimdanganye mwenzako mkuu, Uongo ni dhambi
Mbona mimi nimeweza sema watu wanaogopa kujaribu nimeenda mtaani nikaongea vyema nikapata Tb 2 kwa 20000 inawezekana tena anafunguka kila kitu kuhusu hii biashara itategemea umejenga ukariburi kwa namna gani ila inawezekana Ndugu.
 
Laki 5 yote hiyo wakati unaweza kodi frame KKOO hata ndani ndani huko kwa 200K kwa mwezi ukaunga Faiba au Zuku ya 200K kwa mwezi ukadownload hadi uchoke
kwa kuanzia ili kupunguza gharama unaweza kuanzia kitaa ukakusanya mzigo kutoka kwa wadau tena kwa kiasi kidogo cha pesa alafu baadae ukajiunga na faiba au zuku ili kuongeza stock yako ya muvi nimejaribu imewezekana kupitia kitaa.
 
Anafanya vitu watu wavione vigumu ili kuwatisha watu!hii si sawa bhana
kitaa ukikomaa kwa wadau inawezekana kwa kuanzia ili kupungunza gharama maana nimepata Tb2 sipo kwaajili ya kuaribu biashara ya mtu mawazo niliyatoa humu kutoka kwa mdau mmoja mwanzo wa uzi inawezekana kama utajenga mazingira mazuri kitaa kwa wadau asante.
 
Kwa wenye HARD DISK ndogo ni vyema wakati wa kuanza ukatafuta mtu anaejua kazi akuchagulie kazi za kwenda kuuza TU.

Katika biashara ya movie,zimegawanyika katika makundi mawili

1.Movie zinazouza/kuhitajika sana
2.Movie zisizo uza lakini yakupasa uwe nazo.

Kwa wanao anza hii biashara na hawana HARD DISK kubwa, wanatakiwa ku deal na Kundi la 1, ambalo n movie zinazohtajika kwa sana.

ktk selection ya movie kundi no.1 yakupasa uchaguliwe movie na mtu anaejua movie gani zinapendwa na kuangaliwa sana kwa wakati huo.

Karibuni wote,Anza na hicho kidogo ulichonacho.
 
Binafsi nina computer na mzigo wa 4TB ila kwa sasa sina nafasi ya kuisimamia hii kazi, labda miezi kama minne baadae. Tatizo ni kwamba vijana hawaaminiki sina imani kabisa ya kumwachia mtu vifaa vyangu/ofisi, nimeshuhudia mara kibao wakiwarudisha watu nyuma kwa kuiba vifaa. Naomba ushauri katika hili
Kwanza mkuu lazima akili yako ifahamu kuwa hii kazi kama huifanyi wewe kuibiwa ni lazima (sio ombi)

muhimu unachotakiwa kufanya unapoweka vijna sio kulinda usi ibiwe bali ni kuhakikisha vifaa vyako vinakua salama, yani wacheze maeneo yote ila sio waete habari sijui hard disk zimepotea sijui hazisomi,nk

tengeneza meza nzuri ya chuma ambayo unaweka mashine yako ndani,unafunga,unaacha nafasi ya power cable tu na usb ports.

Hii itasaidia sana kijana kutoiba vitu ndani ya mashine,hata mashine ikiharibika hatoweza kufanya chochote mpk ujulishwe,uje umfungulie mashine au umrekebishie.

maana yake yeye atakuja kufanya kazi tu,mengine kuhusu mashine hatoweza fanya,mpaka hapo usalama wa vitu vyako utakua 81%.

kwenye pesa sasa yani hesabu,mkuu hii biashara kama hukai wewe kuibiwa Muhimu kwahyo chakufanya wewe mpe TARGET tu mwambie kwa siku nikute 10,000 yangu,auze zaidi auze pungufu wewe ukute 10,000.

kama unaona hamna mchanganyo sana mwambie akupe 7000 kwa siku,mkuu ukienda kwa mwendo huo uta win ila hv hv eti unarudi jioni unamwambia naomba daftari nione mauzo,hamna kitu utaambulia.
 
Back
Top Bottom