2TB kwa 20,000 hata kama mmeongea ukapga sound ukaeleweka nina uhakika kwanza ume enda ofisi ya "wasio jielewa" na wasio jua wanafanya nini,hiyo 1.
Au umeenda ofisi ukamkuta mwenye ofisi hayupo,ulie mkuta si muhusika so ni mtu asie elewa kazi na thamani ya biashara za watu (tunarudi kule kwenye point ya 1,ofisi ni ya wasio jitambua).
Ndio wale vijana wanao achwa ofisini na wao wanaacha watu, hapo kijana alie kabidhiwa ofisi na boss wake
morani112 nayeye kageuka boss kamuacha kijana ofisini.
Mzigo wa 2TB unawekea mtu kwa 20,000 (hii sio bei halisi) ni bei ya kijanja janja na kiwizi wizi, nina uhakika kuna namna ktka hiyo ofisi au huyo aliekuwekea movie.
Sishangai kuona iphone 13 inauzwa 100k,haina maana hiyo inayouzwa 200k sio iphone,ila wote tunajua bei ya iphone 13 ni kiasi gani,hata kama ni used used used vipi haiwezi uzwa 100k.
ila mtu akija akiniambia kanunua 100k sitobisha yawezekana kanunua simu ya wizi kutoka kwa mateja au kibaka hivyo sitobisha.
Kwahiyo bwana
KIKAZI hiyo bei usije fikiri ni dodo ila kuna janja janja imefanyika au otherwise una tupanga.
morani112 UMEONA MFANO HAI sasa hao ndio vijana unaowaacha ofisini unaona ile kitu nilikua nakwambia yakumuwekea TARGET? anauza 2TB kwa 20k jioni ukienda anakwambia umeme ulikatka hakukua na biashara, Umeona michezo yao hiyo...
Ndio maana mimi nimewawekea target na moja ya masharti yangu ni marufuku kuuza movie JUMLA ni mimi tu ndie ninae ruhusa ya kuuza movie jumla au kutoa go ahead ya biashara hiyo,bila hivyo utatafuta mchawi kumbe mchawi ni wajinga wajinga unaowaita wafanyakazi ukawapa ofisi.