Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]
 
Wacha nijikalie kimya tu.

Ila kwa swala la kuoa singo maza! Hunishauri hata mwanamke awe mrembo vipi. Nimeyaona mwenyewe Binafsi, sijasimuliwa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mimi ndio nimeyaona mpaka basi
 
Mfupa uliomshinda fisi ndugu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ndoa ni maturity ya mwanaume japo kuna watu ni difficult kuishi nao Wana tabia ngumu. Hasa zama hizi za kugombea usukani nani awe konda nani awe dereva.
 
Hii ni point mkuu...mimi nawapiga chini kwa kigezo hichi kwamba what am i benefiting from this relationship...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi ninakwenda kuoa single maza ...nataka nikajionee mwenyewe...akimess up ...hata kama tulifunga ndoa jana...leo namuacha...
 
Kila mtu aishi tu anavyotaka yeye..... Sa hv wanawake wote mabomu
 
Hapa nimeona wengi wanatafuniwa wake zao kwa sabb hii
 
Nilitaka kuukiza hilo swali ila Umejiuliza Mwenyewe na Umejibu Mwenyewe, Shida ni pale anapoanza Mazungumzo na Mzazi mwenzie
 
USIOE wafuatao;

1. Mwanamke anayetumia kinywaji chochote chenye kilevi. Kiufupi usioe anayekunywa pombe. Iwe bia, wine, Konyagi na aina nyingine yoyote ya pombe.

2. Anayemwita kiongozi wake wa kiroho DAD. Amwite kwa jina la mchungaji sio DAD.

3. Anayehudhuria sana mikesha kanisani.

4. Anayeenda kanisani zaidi ya siku ya ibada (jumamosi au jumapili).

5. Anayejipost mitandaoni huku akijiita CUTE, BOSSLADY, CUTELICIOUS, DIVA nk

6. Mwenye chale sehemu yoyote mwilini.

7. Anayejichubua (bleaching)

8. Mwenye mama ambaye tabia zake hazieleweki. Hata kama binti ni mwema mwenye tabia nzuri ila bahati mbaya mama yake tabia hairidhishi usije ukaoa.

9. Aliyewahi kutoa mimba. Hii ni ngumu kujua ila ukibahatika kugundua piga chini haraka sana.

10. Anayekwambia tubadili style siku ya kwanza ya minyanduano. Msichana mwenye maadili hajui zaidi ya kifo cha mende.

11. Shabiki wa Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…