Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi


Hao single mothers wengi tunaowaona baba au mama zao walikuwa vinara wa kuwananga watoto wa wenzao kuwa wamezalia nyumbani. Kuna vitu vingine kama binadamu ni heri ufunge mdomo unless kama hauna kizazi. Single mothers wanazidi kuongezeka kila uchao na hao watoto wanaolelewq na single mothers ndio watakuja kuoa au kuolewa na watoto wenu. Nawashauri ni heri ujinyamazie unless unajijua kama wewe ni mgumba. Na ukitaka uwapunguze anza kuongea na dada na ndugu zako hao wengine waombee tu.
 
Jamaa amekariri sana. Katika maisha ambayo hayana formula moja kwa watu wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iyo ni toka enzi sema mabinti wa sasa wamejiachia sana kwa kuzaa kabla ya ndoa, kwa Mila za kwetu binti ukizaa kabla ya ndoa anakuwa mzigo wa familia hakuna kijana yeyote atamgusa kusema anaoa na hata ukimwoa unaonekana umeoa mama sio binti na kuna salamu maalum kwa wanaume walio katika ndoa uwezi kuitoa wala kuipokea, iyo Mila ilisaidia sana wazazi kutunza mabinti zao na mabinti kujitunza pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke mwenye mtoto,anaweza asiwe na mapenzi ya dhati ila anaolewa na wewe kwasababu anataka umsaidie kumtunzia mtoto.Na kumbuka huyu mtoto unatakiwa kumhudumia kuliko hata wakwako wa kumzaa vinginevyo atakuona unambagua mwanae.Kwanini ujibebeshe mzigo wakati uwezo wa kuzaa wako unao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu kwenye maisha hupangi wewe, u can try but mwisho wa siku muamuzi wa mwisho ni Mungu, its called FATE. Na moja ya vitu hivyo ni swala la Marriage, katika hili NEVER SAY NEVER cha msingi muombe Mungu akukutanishe na mtu alie sahihi basi, hayo mengine yatajisumbukia yenyewe
 
Binafsi sijawahi kuoa single maza sema nimeshawai kudate tu, Mimi pia ushauri wangu ni kama mtoa mada, kama we ni kijana mdogo ambaye hauna watoto na wanawake wengine ni bora kuingia kwenye ndoa na mwanamke ambaye hana watoto.

Changamoto ya kwanza ninayoiona ni ya kiuchumi, we all have limited resources, can you imagine using your resources to further someone else genes. OK let us assume unajiweza pesa sio tatizo, vipi kwenye urithi wako na yeye utampa sawa na wanao? Kuna mtu alilea binti Wa singo maza kama mwanae Wa kumzaa, uyu binti wakati anaolewa akataka her biological father( ambaye was missing while she was growing up) to walk her down the aisle, what an insult.
Hawa watoto na mama zao Mara nyingi akili zao zinakuwa moja, ukitaka kumdiscipline hachelewi kukuona unamuonea kisa wewe sio baba yake and you will be shocked her mom to be on her side, na ombea Mungu uyo mtoto Wa singo maza asiwe Wa like na kutaka kukupa kesi ya ubakaji, sijui mama yake atakuamini wewe mumewe au mwanae?

Ukiangalia ata wanyama kama simba au pundamilia wakikutana na singo maza mwenye watoto wadogo, cha kwanza wanachofanya ni kuua wale watoto to eliminate traces of the predecessor. Sijui na sisi binadamu( wanaume) tunafall kwenye animal kingdom?
 

Asante kwa kujazia nyama huu uzi, Haya mambo ni very tricky
 
Dah! Brother, umeongea ukweli mtupu ila unaouma haswaa!
Na hapo sasa hujakutana na changamoto ya baba wa mtoto!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…