Kwa bahati mbaya Eminem ni mzungu, hali hii imetufanya watu wenye asili ya kiafrika tuwe wagumu kukubali ukweli yeye ndie mfalme

Mziki ni suala gumu sana kukubaliana.....
Lakini tunafahamu kwa Pac was popular kwenye showbiz hakauki, ila sio mkali kama inavyodhaniwa.
 
Kwenye flow biggie ni hatari mkuu, 2Pac kwenye mashairi alikua mkali sana more of a philosopher kuliko average artist wa rap.
Nakubaliana na wewe mkuu.....
Juzi nimekaa nikatulia, naskiliza "Juicy".....
Mwenyewe nikakubali nikagonga meza.
Biggie smalls anaflow kali, jumlisha taste yake ya kithembe.....basi anakosha.
 
Nakubaliana na wewe mkuu.....
Juzi nimekaa nikatulia, naskiliza "Juicy".....
Mwenyewe nikakubali nikagonga meza.
Biggie smalls anaflow kali, jumlisha taste yake ya kithembe.....basi anakosha.
Acha tu mkuu watu wanamchukulia poa huyu mwamba, alikua aki-flow hautamani amalize. Kuna ngoma inaitwa party on the west coast... Yupo na faith Evans humo ndani. Jamaa ana flow hatari huwezi mlinganisha na Hawa rappers wa sahivi kabisa.
 
Yes Nas yupo Deep.....
Ana ladha ya peke yake.
Ila kusema Em ni Overrated doh....
Sio kwamba Em hajui hapana... ila dah hiyo level mnayomuweka yani kama vle hakuna watu wengine wanaofanya hiphop nzuri... maybe kwa kuwa ni white and minority kwenye crowd ya mablack
 
Sio kwamba Em hajui hapana... ila dah hiyo level mnayomuweka yani kama vle hakuna watu wengine wanaofanya hiphop nzuri... maybe kwa kuwa ni white and minority kwenye crowd ya mablack
Mkuu....
Anajua na wala tusiongelee rangi, nipe vigezo vinavyokufanya uone hastahili.
 
Mkuu....
Anajua na wala tusiongelee rangi, nipe vigezo vinavyokufanya uone hastahili.
Yani mwanangu kabisaa unatakakusema Eminem ndo king of hiphop ? Out of all rappers? Kimashairi flow au nini hasa
 
Yani mwanangu kabisaa unatakakusema Eminem ndo king of hiphop ? Out of all rappers? Kimashairi flow au nini hasa
Sio mkali hata hao unaowazema wewe sio wakali out of all rappers.
Ila ukubwa wa msanii ni mjumuisho wa vitu vingi, sio kuandika tu.
Vibginevyo tungeskiliza ngonjera tu.
 
So nani ni King of Rap?
Kwa upande wangu ni ngumu kusema mzee sababu kimashairi watu wanatofautiana sana so naweza sema mtu flani sababu mashairi yake maybe yananigusa mm binafsi direct

But pia kuna flow kuna watu wana ladha huchoki kuwaskiliza bt mashairi hawako poa kivile

Pia kuna time factor generation na generation zinatofautiana sana

Mi kunamda namkubali sana Escobar... kuna mda narudi kwa jigga.. Em ....

Mfano embu nichambulie Miseduction of lauryn ile albam kila ngoma kali lkn hajakaa sana kwenye game bt ni mija ya albam ambayo haichoshi kamwe...

Naona kuna vitu ving sana kusema mtu flani ni bora kabisa kuliko wote inakua ngumu
 
Unaona sasa mkuu?
Kuwa best wa mda wote ni Vitu Vingi....
Mfano mwepesi kamsikilize Rass kass....( anaflow nzuri sana).
Lakini mpaka wanazeeka hakuna mtu anajali kuhusu wao.
Kwa hiyo hoja ulizozitaja hapo ni za Msingi na ndio zinaangukia kwa Em....
Japo kawazidi watu na wao wamemzidi baadhi ya vitu.
 
Uko vizuri nimekubali mzee... naplay zangu devils in a new dress now mziki mzuri kuna watu wanaflow sana lakini hawa maintain kwenye game Shady kaka mda mrefu kwenye game maybe ndo maana ana respect sana na vile hapendi mambo ya kijinga so thumbs up kwake
 
Kula vitu mkuu....
Naskiliza Straight Outta Compton....saiv mkuu.
Nazikubali ladha za Gangster rap....
 
Kula vitu mkuu....
Naskiliza Straight Outta Compton....saiv mkuu.
Nazikubali ladha za Gangster rap....
Sema leonna vibe na vitu flani laini laini yani expensive music flani hivi za reflection lights please ya jcole on air
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…