Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Inawezekana ukawa hujui hiphop sana....Mwamba yuko overrated sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana ukawa hujui hiphop sana....Mwamba yuko overrated sana
Mziki ni suala gumu sana kukubaliana.....Nimemwambia asome post yang namb 23 ya Eminem mwenyew akikiri kuwa kuna wa juu yake, lkn jamaa kaingia mitini.
Kweli Eminem yuko vizuri lkn alikuta kuna watu waliikuta mziki wa hip hop ukiwa hovyo hovyo wakautengenezea mazingira ya kukubalika dunia nzima. Na hata baada ya vifo vyao miaka takriban 30 lkn mziki wake bado unaishi mpaka leo. Eminem na uhai wake akikaa miaka 3 tu bila kuimba atapotea mazima. Mkuu hebu chek post namb 23 uone Eminem alichoongea.
Notorious is underrated!! Umemvunjia heshima sana mkuu.1 Slim shady
2 Pac
3 Biggie
Kwenye flow biggie ni hatari mkuu, 2Pac kwenye mashairi alikua mkali sana more of a philosopher kuliko average artist wa rap.pac na biggie majina yao yalikuzwa maradufu kwa mabifu na vifo vyao, halafu bora 2pac namwelewa lakini bigi kwa pac hafui dafu aisee,
Nakubaliana na wewe mkuu.....Kwenye flow biggie ni hatari mkuu, 2Pac kwenye mashairi alikua mkali sana more of a philosopher kuliko average artist wa rap.
Acha tu mkuu watu wanamchukulia poa huyu mwamba, alikua aki-flow hautamani amalize. Kuna ngoma inaitwa party on the west coast... Yupo na faith Evans humo ndani. Jamaa ana flow hatari huwezi mlinganisha na Hawa rappers wa sahivi kabisa.Nakubaliana na wewe mkuu.....
Juzi nimekaa nikatulia, naskiliza "Juicy".....
Mwenyewe nikakubali nikagonga meza.
Biggie smalls anaflow kali, jumlisha taste yake ya kithembe.....basi anakosha.
Inawezekana kweli siijui hiphop... hiyo illmatic mpaka kesho af mwana alikua chalii tu il verse zake ziko deep kinomaInawezekana ukawa hujui hiphop sana....
Yes Nas yupo Deep.....Inawezekana kweli siijui hiphop... hiyo illmatic mpaka kesho af mwana alikua chalii tu il verse zake ziko deep kinoma
Sio kwamba Em hajui hapana... ila dah hiyo level mnayomuweka yani kama vle hakuna watu wengine wanaofanya hiphop nzuri... maybe kwa kuwa ni white and minority kwenye crowd ya mablackYes Nas yupo Deep.....
Ana ladha ya peke yake.
Ila kusema Em ni Overrated doh....
Mkuu....Sio kwamba Em hajui hapana... ila dah hiyo level mnayomuweka yani kama vle hakuna watu wengine wanaofanya hiphop nzuri... maybe kwa kuwa ni white and minority kwenye crowd ya mablack
Yani mwanangu kabisaa unatakakusema Eminem ndo king of hiphop ? Out of all rappers? Kimashairi flow au nini hasaMkuu....
Anajua na wala tusiongelee rangi, nipe vigezo vinavyokufanya uone hastahili.
Em is great nakubali but damn king of Hiphop? Hapana mzeeMkuu....
Anajua na wala tusiongelee rangi, nipe vigezo vinavyokufanya uone hastahili.
Sio mkali hata hao unaowazema wewe sio wakali out of all rappers.Yani mwanangu kabisaa unatakakusema Eminem ndo king of hiphop ? Out of all rappers? Kimashairi flow au nini hasa
So nani ni King of Rap?Em is great nakubali but damn king of Hiphop? Hapana mzee
Kwa upande wangu ni ngumu kusema mzee sababu kimashairi watu wanatofautiana sana so naweza sema mtu flani sababu mashairi yake maybe yananigusa mm binafsi directSo nani ni King of Rap?
Unaona sasa mkuu?Kwa upande wangu ni ngumu kusema mzee sababu kimashairi watu wanatofautiana sana so naweza sema mtu flani sababu mashairi yake maybe yananigusa mm binafsi direct
But pia kuna flow kuna watu wana ladha huchoki kuwaskiliza bt mashairi hawako poa kivile
Pia kuna time factor generation na generation zinatofautiana sana
Mi kunamda namkubali sana Escobar... kuna mda narudi kwa jigga.. Em ....
Mfano embu nichambulie Miseduction of lauryn ile albam kila ngoma kali lkn hajakaa sana kwenye game bt ni mija ya albam ambayo haichoshi kamwe...
Naona kuna vitu ving sana kusema mtu flani ni bora kabisa kuliko wote inakua ngumu
Uko vizuri nimekubali mzee... naplay zangu devils in a new dress now mziki mzuri kuna watu wanaflow sana lakini hawa maintain kwenye game Shady kaka mda mrefu kwenye game maybe ndo maana ana respect sana na vile hapendi mambo ya kijinga so thumbs up kwakeUnaona sasa mkuu?
Kuwa best wa mda wote ni Vitu Vingi....
Mfano mwepesi kamsikilize Rass kass....( anaflow nzuri sana).
Lakini mpaka wanazeeka hakuna mtu anajali kuhusu wao.
Kwa hiyo hoja ulizozitaja hapo ni za Msingi na ndio zinaangukia kwa Em....
Japo kawazidi watu na wao wamemzidi baadhi ya vitu.
Kula vitu mkuu....Uko vizuri nimekubali mzee... naplay zangu devils in a new dress now mziki mzuri kuna watu wanaflow sana lakini hawa maintain kwenye game Shady kaka mda mrefu kwenye game maybe ndo maana ana respect sana na vile hapendi mambo ya kijinga so thumbs up kwake
Nakubali mzee kuna ile yadre xplosiveKula vitu mkuu....
Naskiliza Straight Outta Compton....saiv mkuu.
Nazikubali ladha za Gangster rap....
Sema leonna vibe na vitu flani laini laini yani expensive music flani hivi za reflection lights please ya jcole on airKula vitu mkuu....
Naskiliza Straight Outta Compton....saiv mkuu.
Nazikubali ladha za Gangster rap....