Kwa bahati mbaya Eminem ni mzungu, hali hii imetufanya watu wenye asili ya kiafrika tuwe wagumu kukubali ukweli yeye ndie mfalme

View attachment 2335015

Yes, eminem kuna muda anasifia kwamba kuna marapa weusi flani walikuwa anawasikiliza, wanampa morali, n.k lakini hii haiondoi ukweli kwamba yeye ni mfalme, Messi anaweza kumsifia Maradona alikuwa bora lakini haiondoi ugalisia kwamba Messi ndie mfalme,

Laiti Eminem angekuwa mweusi angekubalika kirahisi sana na kuwa Muhamed Ali wa Hiphop.

Marapa weusi tayari wana platform kwa watu weusi kuwa na utayari wa kusikiliza ngoma zao , hata kama ngoma ni ya msanii underground basi ana ka platform tayari ka wasikilizaji weusi,,, kwa eminem maana hali ilikuwa tofauti hakuwa na hii platform, watu weusi walikuwa hawana shauku ya kusikiliza ngoma zake, ilimbidi Eminem atie kishindo ndio watu wageuke kumsikiliza, alianza na freestyle hizi miaka ya 90's alkuwaa anawachana bila huruma watu waliodiriki kuomba battle, haikuwa rahisi aisee , marapa weusi ni kama wachezaji wa Yanga / Simba tayari wana platform za mashabiki hata kama wana uwezo wa kawaida, Eminem ni kama George mpole msimu uliopita hakuwa na platform ila aliwika kwa kufunga magoli mengi.

kina 2pac na bigi walikuwa vizuri lakini naweza kusema vifo vyao viliwakuza zaidi majina yao, pac na biggie majina yao yalikuzwa maradufu kwa mabifu na vifo vyao, halafu bora 2pac hata alikuwa na nyimbo za kuelmisha jamii na kuleta mabadiliko chanya, bigi kwa pac hafui dafu labda vitu vichache.

Hakuna rapa anaetaka bifu na Eminem, Ukijaribu anakutungua juu juu ukifika chinii chali, Wasanii wakuwa tu kama kina The game, 50 cent walishaweka wazi hatua za kuchukua ukiwa na bifu na Eminem ni kumkwepa tu yaishe. Eminem hakuchani kwa mistari pekee, anakuharibia career moja kwa moja,,, wapo wapi kina Jarule, kina machine gun kelly, n.k.

Anaweza kuyachezea maneno kwa style za kutuacha mdomo wazi, freestyle anazicharaza, rap battles wapinzani wanakimbizwa, ni dubwana linaloikunja mistari kadri atakavyo, speed a kurap kasgaunja rekodi huko, freestyle ndo usipime
Sorry bro, i know u tried to balance ur story but i would like to tell u the truth that u know noting about 2pac.
Lets Eminem himself showing u who's a real king of hip hop 👇
Imagine kama angeendelea kuwa hai hadi 2010 tu, hop hop na mziki wake ungekuwa ktk hali gani?
 
Attachments

  • Screenshot_20220826-185252.jpg
    Screenshot_20220826-185252.jpg
    40.6 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220826-185407.jpg
    Screenshot_20220826-185407.jpg
    46.3 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220826-185519.jpg
    Screenshot_20220826-185519.jpg
    34.5 KB · Views: 14
Ndugu mtoa mada, mimi namkubali sana EMINEM. Lakini unadhani unaweza kumuweka viwango vya kina:
  1. KRS-ONE
  2. Ll Cool J
  3. Rakim
  4. Biggie
Hivi, ni kweli au mmeamua kufanya maksudi ndugu zangu ???
 
Ukiachana na Pac Eminem ni hatari na nusu. Kwenye collabo marap wengi anawameza mbali. Sikiliza No love humo ndani wayne alivopotezwa.
 
Si vibaya kuandika verse upya, inaonesha ni jinsi gani una uwezo wa kuandika mistari mikali tena na tena. Unapimaje kwamba verse ya Kanye imemezwa na ya eminem kwenye forever remix?
Kuandika verse upya, maana yake ni kua kile ulichokiandika mwanzo hakikidhi viwango. Na sio hizo porojo za mistari mikali unazosema!

Acha kujitoa ufahamu!
 
Ndugu mtoa mada, mimi namkubali sana EMINEM. Lakini unadhani unaweza kumuweka viwango vya kina:
  1. KRS-ONE
  2. Ll Cool J
  3. Rakim
  4. Biggie
Hivi, ni kweli au mmeamua kufanya maksudi ndugu zangu ???
Nimemwambia asome post yang namb 23 ya Eminem mwenyew akikiri kuwa kuna wa juu yake, lkn jamaa kaingia mitini.
Kweli Eminem yuko vizuri lkn alikuta kuna watu waliikuta mziki wa hip hop ukiwa hovyo hovyo wakautengenezea mazingira ya kukubalika dunia nzima. Na hata baada ya vifo vyao miaka takriban 30 lkn mziki wake bado unaishi mpaka leo. Eminem na uhai wake akikaa miaka 3 tu bila kuimba atapotea mazima. Mkuu hebu chek post namb 23 uone Eminem alichoongea.
 
Ukiachana na Pac Eminem ni hatari na nusu. Kwenye collabo marap wengi anawameza mbali. Sikiliza No love humo ndani wayne alivopotezwa.
Eminem ni level kubwa kwa sasa ila mleta mada asijaribu kumlinganisha na Pac maana hata Em mwenyew ashakiri kwamb Pac yuko mbali kimziki ukimlinganisha na yeye. Afu mleta mada anajifanya kumjua zaidi Em kwa Pac zaidi ya anavyojijua mwenyew. Soma post namb 23 uone na picha ya Em akikiri, japo video imekataa kuja.
 
MM anajua ila african american kwenye entertainment indus wametuwakilisha vilivyo hawana mpinzani 👐
 
Kuandika verse upya, maana yake ni kua kile ulichokiandika mwanzo hakikidhi viwango. Na sio hizo porojo za mistari mikali unazosema!

Acha kujitoa ufahamu!
Vipi pia kama verse iliyoandikwa mwanzo ni kali imekidhi viwango, ila Kanye aliamua kuiongezea viwango zaidi. Umewaza hivyo?
 
Eminem ni best rapper lakini hawezi kuwa mfalme

Hili jambo mbona lilishaelezewa sana humu

Eminem ni dogo tu kwa jay z

Jigga hujisahaulisha “renegade”. Kila Mtu anajua alichofanywa mle..
 
View attachment 2335015

Yes, eminem kuna muda anasifia kwamba kuna marapa weusi flani walikuwa anawasikiliza, wanampa morali, n.k lakini hii haiondoi ukweli kwamba yeye ni mfalme, Messi anaweza kumsifia Maradona alikuwa bora lakini haiondoi ugalisia kwamba Messi ndie mfalme,

Laiti Eminem angekuwa mweusi angekubalika kirahisi sana na kuwa Muhamed Ali wa Hiphop.

Marapa weusi tayari wana platform kwa watu weusi kuwa na utayari wa kusikiliza ngoma zao , hata kama ngoma ni ya msanii underground basi ana ka platform tayari ka wasikilizaji weusi,,, kwa eminem maana hali ilikuwa tofauti hakuwa na hii platform, watu weusi walikuwa hawana shauku ya kusikiliza ngoma zake, ilimbidi Eminem atie kishindo ndio watu wageuke kumsikiliza, alianza na freestyle hizi miaka ya 90's alkuwaa anawachana bila huruma watu waliodiriki kuomba battle, haikuwa rahisi aisee , marapa weusi ni kama wachezaji wa Yanga / Simba tayari wana platform za mashabiki hata kama wana uwezo wa kawaida, Eminem ni kama George mpole msimu uliopita hakuwa na platform ila aliwika kwa kufunga magoli mengi.

kina 2pac na bigi walikuwa vizuri lakini naweza kusema vifo vyao viliwakuza zaidi majina yao, pac na biggie majina yao yalikuzwa maradufu kwa mabifu na vifo vyao, halafu bora 2pac hata alikuwa na nyimbo za kuelmisha jamii na kuleta mabadiliko chanya, bigi kwa pac hafui dafu labda vitu vichache.

Hakuna rapa anaetaka bifu na Eminem, Ukijaribu anakutungua juu juu ukifika chinii chali, Wasanii wakuwa tu kama kina The game, 50 cent walishaweka wazi hatua za kuchukua ukiwa na bifu na Eminem ni kumkwepa tu yaishe. Eminem hakuchani kwa mistari pekee, anakuharibia career moja kwa moja,,, wapo wapi kina Jarule, kina machine gun kelly, n.k.

Anaweza kuyachezea maneno kwa style za kutuacha mdomo wazi, freestyle anazicharaza, rap battles wapinzani wanakimbizwa, ni dubwana linaloikunja mistari kadri atakavyo, speed a kurap kasgaunja rekodi huko, freestyle ndo usipime
We jamaa unayo harufu ya ubaguzi.. kwanini useme kwa bahati mbaya?..

Umekosea mkuu.. ungawa kweli jamaa ni fundi na nimoja ya mahiphop artist ambao wamegoma kubadilishwa na upepo
 
Vipi pia kama verse iliyoandikwa mwanzo ni kali imekidhi viwango, ila Kanye aliamua kuiongezea viwango zaidi. Umewaza hivyo?
"kuongeza viwango" maana yake ni kwamba "viwango" vya awali havikutosha. Najua unaelewa ila unakaza kichwa!
 
Mzee redio zote kubwa, distribution companies zote kubwa, Lebo zote kubwa, streaming platform zote kubwa zinamilikiwa na ngozi nyeupe....Kwa staili hyo Eminem angesgindwaje kuwa Overrated?
Ni kama saivi kina Lil pump, tekashi 69,Iggy azalea, wanabebwa na rangi zao.
Heeee.....
 
Back
Top Bottom