Kwa bahati mbaya hatujawahi kupata Mzanzibar aliyepigiwa kura kuwa Rais wa Tanzania Bara, hatutegemei hili litokee tena

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Kipindi anaingia Mwinyi sikuwa bado nimezaliwa ila niliskia kwamba aliingizwa kwa kiasi kikubwa na Nyerere aje kutawala huku.

Rais Mheshimiwa wa sasa pia anafanya kazi yake vizuri lakini nae kaingia madarakani baada ya Magufuli kufariki ikabidi arithishwe urais kwa mujibu wa katiba.

Ingefaa siku rais anaetokea Zanzibar apigiwe kura na watanzania bara ambayo zamani ilikuwa ni Tanganyika
 
Hapana alipigiwa kura ila ulikuwa uchaguzi wa chama kimoja. Sehemu ya mgombea mwingine palikuwa na kivuli.
 
Huyo Mzanzibar atapigiwa kura na nani,ndio maana naona kabisa SAMIA kugombea 2025 sio rahisi na ikitokea basi watumie style aliyotumia Magufuli lasivyo ni kutupa shilingi chooni.
 
Kipindi anaingia Mwinyi sikuwa bado nimezaliwa ila niliskia kwamba aliingizwa kwa kiasi kikubwa na Nyerere aje kutawala huku.

Rais Mheshimiwa wa sasa pia anafanya kazi yake vizuri lakini nae kaingia madarakani baada ya Magufuli kufariki ikabidi arithishwe urais kwa mujibu wa katiba.

Ingefaa siku rais anaetokea Zanzibar apigiwe kura na watanzania bara ambayo zamani ilikuwa ni Tanganyika
NI kweli ila ndio mana wazanzibari wanayoipenda nchi yao ya zanzibar tunataka huu Muungano kuwe na usawa maana kwa zanzibar hauleti tija hata uwepo wake kwa kweli
 
Kipindi anaingia Mwinyi sikuwa bado nimezaliwa ila niliskia kwamba aliingizwa kwa kiasi kikubwa na Nyerere aje kutawala huku.

Rais Mheshimiwa wa sasa pia anafanya kazi yake vizuri lakini nae kaingia madarakani baada ya Magufuli kufariki ikabidi arithishwe urais kwa mujibu wa katiba.

Ingefaa siku rais anaetokea Zanzibar apigiwe kura na watanzania bara ambayo zamani ilikuwa ni Tanganyika
Kama mnaona wazanzibari wanafaidi sana kuwa pale ikulu vunjeni tu muungano. Msiishi kwa wasiwasi, kuweni huru.
 
Kazi gani nzuri anafanya
 
Rais Mh.Ali Hassani Mwinyi,alipigwa kura,vipindi vyake vyote viwili.Rais Samia Suluhu Hassani,pia alipigwa kura.Labda wewe,huelewi.Uliza wanaolewa,ufahamishwe
 
Kama mnaona wazanzibari wanafaidi sana kuwa pale ikulu vunjeni tu muungano. Msiishi kwa wasiwasi, kuweni huru.
Shida siyo Rais kuwa Mzanzibar. Tatizo ni Rais Mzanzibari kuwa na roho ya shetani, kuja kubambikia kesi na kuwaweka ndani Watanganyika. Mgeni umfadhili halafu aje kufunge wewe mwenyeji wake, inaleta sense?

Na hakika Samia baada ya 2025, kuendelea kuwa Rais itakuwa kazi sana maana ameyakera mekundi yote makubwa.
 
Back
Top Bottom