Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Umesema kweli tupu.kwani akia na chembe ya uarabu ndio tatizo wacheni ubaguzi huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema kweli tupu.kwani akia na chembe ya uarabu ndio tatizo wacheni ubaguzi huo
Acha ubaguzi.Samia hatufai ana chembe nyingi za uarabu.
Umemueleweshe vizuri sana.Wengine sio watanzania,hawajui kama kulikuwa na uchaguzi miaka ya awamu ya kwanza,ya pili,ya tatu,ya nne,ya tano,nkMtoa post unastahili tu kuendelea kuwa huko facebook! Huku hupawez! Ipo hivi 1985 kulikuwa na uchaguz mkuu sio kwamba nyerere alimleta mwinyi! 1990 pia kulikuwa na uchaguz mkuu na mwinyi aligombea hakuletwa! Usitutibulie swaum yetu ya zamalek .
Ndio ujuwe muimba taarabu,kakushinda akili,wewe mcheza marimba.Hawezi kutoboa.yani bara tuwachague waimba taarabu
Ushawahi kufika zanzibar au sema serikali ya smz inanufaika sana na muunganoWazanzibar wananufaika sana na huu muungano uchwara, tunaitaji Tanganyika yetu.
Wakati ukifika Mwinyi tatakuja ambiwa ni mzaliwa wa Mkuranga.Kipindi anaingia Mwinyi sikuwa bado nimezaliwa ila niliskia kwamba aliingizwa kwa kiasi kikubwa na Nyerere aje kutawala huku.
Rais Mheshimiwa wa sasa pia anafanya kazi yake vizuri lakini nae kaingia madarakani baada ya Magufuli kufariki ikabidi arithishwe urais kwa mujibu wa katiba.
Ingefaa siku rais anaetokea Zanzibar apigiwe kura na watanzania bara ambayo zamani ilikuwa ni Tanganyika
Huo ushetani akiufanya mwenyeji wa Chato ni poa tu. Huo ndio unafiki wa kiwango cha PHD. Kwamba unyama wa mtu wa bara mwenzetu unavumiliwa tu, ila kikifanywa kitu na mwenyeji wa visiwani zinaanza nongwa zisizo na mashiko.Shida siyo Rais kuwa Mzanzibar. Tatizo ni Rais Mzanzibari kuwa na roho ya shetani, kuja kubambikia kesi na kuwaweka ndani Watanganyika. Mgeni umfadhili halafu aje kufunge wewe mwenyeji wake, inaleta sense?
Na hakika Samia baada ya 2025, kuendelea kuwa Rais itakuwa kazi sana maana ameyakera mekundi yote makubwa.
Mtoa post unastahili tu kuendelea kuwa huko facebook! Huku hupawez! Ipo hivi 1985 kulikuwa na uchaguz mkuu sio kwamba nyerere alimleta mwinyi! 1990 pia kulikuwa na uchaguz mkuu na mwinyi aligombea hakuletwa! Usitutibulie swaum yetu ya zamalek .