sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hapana alipigiwa kura ila ulikuwa uchaguzi wa chama kimoja. Sehemu ya mgombea mwingine palikuwa na kivuli.Kipindi anaingia Mwinyi sikuwa bado nimezaliwa ila niliskia kwamba aliingizwa kwa kiasi kikubwa na Nyerere aje kutawala huku.
Rais Mheshimiwa wa sasa pia anafanya kazi yake vizuri lakini nae kaingia madarakani baada ya Magufuli kufariki ikabidi arithishwe urais kwa mujibu wa katiba.
Ingefaa siku rais anaetokea Zanzibar apigiwe kura na watanzania bara ambayo zamani ilikuwa ni Tanganyika
NI kweli ila ndio mana wazanzibari wanayoipenda nchi yao ya zanzibar tunataka huu Muungano kuwe na usawa maana kwa zanzibar hauleti tija hata uwepo wake kwa kweliKipindi anaingia Mwinyi sikuwa bado nimezaliwa ila niliskia kwamba aliingizwa kwa kiasi kikubwa na Nyerere aje kutawala huku.
Rais Mheshimiwa wa sasa pia anafanya kazi yake vizuri lakini nae kaingia madarakani baada ya Magufuli kufariki ikabidi arithishwe urais kwa mujibu wa katiba.
Ingefaa siku rais anaetokea Zanzibar apigiwe kura na watanzania bara ambayo zamani ilikuwa ni Tanganyika
kwani akia na chembe ya uarabu ndio tatizo wacheni ubaguzi huoSamia hatufai ana chembe nyingi za uarabu.
Nani aliekudanganya kama wazanzibari wananufaika na kivipi wananufaikaWazanzibar wananufaika sana na huu muungano uchwara, tunaitaji Tanganyika yetu.
Kama mnaona wazanzibari wanafaidi sana kuwa pale ikulu vunjeni tu muungano. Msiishi kwa wasiwasi, kuweni huru.Kipindi anaingia Mwinyi sikuwa bado nimezaliwa ila niliskia kwamba aliingizwa kwa kiasi kikubwa na Nyerere aje kutawala huku.
Rais Mheshimiwa wa sasa pia anafanya kazi yake vizuri lakini nae kaingia madarakani baada ya Magufuli kufariki ikabidi arithishwe urais kwa mujibu wa katiba.
Ingefaa siku rais anaetokea Zanzibar apigiwe kura na watanzania bara ambayo zamani ilikuwa ni Tanganyika
Tatizo la hawa watoto wa instagram kukua na kupata akili.Mtoa post unastahili tu kuendelea kuwa huko facebook! Huku hupawez! Ipo hivi 1985 kulikuwa na uchaguz mkuu sio kwamba nyerere alimleta mwinyi! 1990 pia kulikuwa na uchaguz mkuu na mwinyi aligombea hakuletwa! Usitutibulie swaum yetu ya zamalek .
Kazi gani nzuri anafanyaKipindi anaingia Mwinyi sikuwa bado nimezaliwa ila niliskia kwamba aliingizwa kwa kiasi kikubwa na Nyerere aje kutawala huku.
Rais Mheshimiwa wa sasa pia anafanya kazi yake vizuri lakini nae kaingia madarakani baada ya Magufuli kufariki ikabidi arithishwe urais kwa mujibu wa katiba.
Ingefaa siku rais anaetokea Zanzibar apigiwe kura na watanzania bara ambayo zamani ilikuwa ni Tanganyika
Ni mshamba wa waarabuSamia hatufai ana chembe nyingi za uarabu.
Rais Mh.Ali Hassani Mwinyi,alipigwa kura,vipindi vyake vyote viwili.Rais Samia Suluhu Hassani,pia alipigwa kura.Labda wewe,huelewi.Uliza wanaolewa,ufahamishweKipindi anaingia Mwinyi sikuwa bado nimezaliwa ila niliskia kwamba aliingizwa kwa kiasi kikubwa na Nyerere aje kutawala huku.
Rais Mheshimiwa wa sasa pia anafanya kazi yake vizuri lakini nae kaingia madarakani baada ya Magufuli kufariki ikabidi arithishwe urais kwa mujibu wa katiba.
Ingefaa siku rais anaetokea Zanzibar apigiwe kura na watanzania bara ambayo zamani ilikuwa ni Tanganyika
Asiyekuwa mtanzania,ndio hatampigia kura.Huyo Mzanzibar atapigiwa kura na nani,ndio maana naona kabisa SAMIA kugombea 2025 sio rahisi na ikitokea basi watumie style aliyotumia Magufuli lasivyo ni kutupa shilingi chooni.
Huo ni ukaburu.Samia hatufai ana chembe nyingi za uarabu.
Anayemkataa Samia,sio mtanzania.Samia hatufai ana chembe nyingi za uarabu.
Shida siyo Rais kuwa Mzanzibar. Tatizo ni Rais Mzanzibari kuwa na roho ya shetani, kuja kubambikia kesi na kuwaweka ndani Watanganyika. Mgeni umfadhili halafu aje kufunge wewe mwenyeji wake, inaleta sense?Kama mnaona wazanzibari wanafaidi sana kuwa pale ikulu vunjeni tu muungano. Msiishi kwa wasiwasi, kuweni huru.