Kwa bahati mbaya hatujawahi kupata Mzanzibar aliyepigiwa kura kuwa Rais wa Tanzania Bara, hatutegemei hili litokee tena

Hawezi kutoboa.yani bara tuwachague waimba taarabu
 
Mtoa post unastahili tu kuendelea kuwa huko facebook! Huku hupawez! Ipo hivi 1985 kulikuwa na uchaguz mkuu sio kwamba nyerere alimleta mwinyi! 1990 pia kulikuwa na uchaguz mkuu na mwinyi aligombea hakuletwa! Usitutibulie swaum yetu ya zamalek .
Umemueleweshe vizuri sana.Wengine sio watanzania,hawajui kama kulikuwa na uchaguzi miaka ya awamu ya kwanza,ya pili,ya tatu,ya nne,ya tano,nk
 
Wakati ukifika Mwinyi tatakuja ambiwa ni mzaliwa wa Mkuranga.
 
Huo ushetani akiufanya mwenyeji wa Chato ni poa tu. Huo ndio unafiki wa kiwango cha PHD. Kwamba unyama wa mtu wa bara mwenzetu unavumiliwa tu, ila kikifanywa kitu na mwenyeji wa visiwani zinaanza nongwa zisizo na mashiko.
 
Mtoa post unastahili tu kuendelea kuwa huko facebook! Huku hupawez! Ipo hivi 1985 kulikuwa na uchaguz mkuu sio kwamba nyerere alimleta mwinyi! 1990 pia kulikuwa na uchaguz mkuu na mwinyi aligombea hakuletwa! Usitutibulie swaum yetu ya zamalek .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…