Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Acheni tu jamani, omba isikukuteI'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?
Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!..
Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
Tatizo heshima niliyoijenga katika jamii, naheshimika mno, sipo tayari kuikabili aibu hiiZaa mkuuu maisha ndo hayahaya, usijali maneno ya watu
I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?
Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!..
Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
Pumbavu kweli, hebu mshukuru Mungu acha kufuata ujinga wa watu. Ole wenu mtoe hio mimbaI'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?
Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!..
Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
Wala sio aibu kila mtu ana mipango yake, wafanye yao, mawazo yao sio shida zako hawakusaidi hata kuleaTatizo heshima niliyoijenga katika jamii, naheshimika mno, sipo tayari kuikabili aibu hii
Yaani nionekane m-primitive mimi?Msitoe zaeni tu hii ilimkuta dadangu umri huo huo.Mtoto aoasitishwa kunyonya kajifungua mwaka jana mapacha,Sasa wangekuwa wamefanya uamuzi wa kutoa hao mwa twins wa kiume wangewapata wapi?..........
Hahahah usitishe BWANA PGO, hata na mimi ni mkubwa kama wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pumbavu kweli, hebu mshukuru Mungu acha kufuata ujinga wa watu. Ole wenu mtoe hio mimba
Nitaifikiria hiiWala sio aibu kila mtu ana mipango yake, wafanye yao, mawazo yao sio shida zako hawakusaidi hata kulea
Live your life. Acha kuishi maisha ya watu. Imeshatokea nenda kwa Daktari wenu msikilize ushauri wake. Mtanzia hapo.Yaani nionekane m-primitive mimi?
Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
Ni ngumu sio kama unavyolichukulia hiliNi yule mke uliyempiga ndio kabeba mimba nyingine?
Kikubwa zaeni tu hao watakuwa mapacha wa nje
Eti eehLive your life. Acha kuishi maisha ya watu. Imeshatokea nenda kwa Daktari wenu msikilize ushauri wake. Mtanzia hapo.
NimekuelewaUsithubutu kumwambia hata kwa utani kwamba akatoe mimba hiyo ni damu yako sharti uwajibike kwayo cha kufanya angalia mimba ina miezi mingapi kama ni chini ya miezi mitatu aendelee kumnyonyesha mtoto ikifika miezi mitatu aache msubiri uzao wenu.
Unaweza ukamshauri aitoe mimba akaitoa kweli akawa ndo mwanenu wa mwisho ondoa hilo wazo kichwani.
Kinacho kusumbua ww ni ego yako.I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?
Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!..
Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
KawaidaI'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?
Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!..
Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
Pumbavu, shenzi kabisa. Wewe ni liprimitive la akili, elimu, muonekano na Kila kitu. Mamaako angekutoa Mimba ungejua kusema hata hiyo primitive? Kabla ya kutoa hiyo Mimba nenda kwa mamaako akakutoe kwanza wewe. Hata hao wanaokuheshimu wanaheshimu mtu zuzu kabisa. Wakijua umetoa Mimba ya mkeo ndo utadharaulika kuliko hata mavi, pumbavu kabisa. Vijitu vingine vikishapata vihela bwana vimatako vinalia mbwata maamuzi wanakuwa wanayatolea matakoni Kama ushuzi.Yaani nionekane m-primitive mimi?