Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Maziwa ya mama ni muhimu kwa miezi 6 lakini sio lazima mtoto anyonye miaka2 tena hao wanaoachishwa mapema wanakuwa smart sana
Unapingana na Mungu anayesema WATIMIZE KUNYONYA MIAKA 2 ?!!, hayo ndio madhara tunayoyaona katika jamii yetu, hata watumishi wa umma waliopewa dhamana ya kuongoza umma tumewaona wanashindwa kusoma mikataba vyema na hivyo kusaini mikataba ya hovyo ya kuhujumu taifa maana yake ni hata hao unasema ni smart, they are not at all ukiwaweka mbele ya wenzao walioshiba maziwa ya mama zao for 2 complete years.
Wacha wewe maziwa ya mama; ya ngombe, Lactogen, nk, hayafui dafu tena ukute mama mwenyewe ni wa KIENYEJI anayekula vyakula vya asili, wacha weee, maziwa yake ni hatari, sio ya hao akina @SkyEclat akina mama wa kisasa.🤣🤣🤣