Kwa bahati mbaya mke ameshika ujauzito tena

I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?

Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!

Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
Hakuna sababu ya kufanya hivyo ndg. Mshukuru muumba na hauwezi jua huyo anayekuja ni nani maisha ni fumbo
 
Wewe ndiye uliyekaririshwa na kukariri, kwani nani kasema mtoto hakui au hatokuwa?!!--- mtoto atakuwa lakini hawezi kupata lishe ya maziwa ya mama kikamilifu kwani "breast milk is the best", au hulijui hilo??, mtoto ili awe na msingi wa afya nzuri ni at least anyonye kwa miaka miwili, mtoto asiponyonya kwa muda huo ni sawa na mgonjwa wa tb akatishe dose, mtoto asiponyonya kwa kipindi hicho hawezi Katika makuzi yake akawa mentally and physically okay, kwa macho utamuona okay lakini kwa undani hatokuwa okay na hili ni tatizo kubwa katika jamii zetu za kiafrika kuzaa bila mpangilio kunakopelekea watoto kukosa lishe bora na hivyo kuathiri mambo mengi kiafya, hata wewe labda umeathirika kiakili bila shaka ulinyonya chini ya miaka miwili na ulipofikisha miezi 4 ukaanza kulishwa mihogo na matembele hapo utapata wapi uwezo wa kufikiri iwapo msingi wa jambo hilo halimo ndani ya mwili wako.
Achana na hizo nadharia ulizomezeshwa namadesa ya wazungu. Kwahiyo unaamini wote tumenyonyeshwa sio chini ya miaka miwili? Hujui kuwa afrika ni tishio kwao mpaka wanakuja na hizo nadharia pamoja na mipango ya uzazi wa mpango.
 
Kwani mkeo alirudi toka Machame ukweni au yule aliyekuvuta korodani. Jamaa huwa unatupiga fix kweli huku JF
Hakwenda Moshi, ni yule yule.
Namjibia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Mkulungwa anazingua sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?

Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!

Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo

You are a very stupid man, yaani you are an idiot. You are a disgrace to humanity, I just can’t find better words to describe you. Ni hivi hufai kuwa mume wala baba. Shenzi wewe.
 
Achana na hizo nadharia ulizomezeshwa namadesa ya wazungu. Kwahiyo unaamini wote tumenyonyeshwa sio chini ya miaka miwili? Hujui kuwa afrika ni tishio kwao mpaka wanakuja na hizo nadharia pamoja na mipango ya uzazi wa mpango.

Ni Mungu ndiye aliyesema ndani ya Qur'an kwamba wamama wanyonyeshe watoto kwa miaka 2, chini ya hapo ni sawa na kumkatili mtoto kiafya.

Screenshot_20220114-141954.png
 
Yaani nionekane m-primitive mimi?
kaka tupunguzie idadi ya vifo ambayo kiukweli kwa sasa ni kubwa kuliko idadi ya watoto wanaozaliwa kwa siku. hii ni pamoja na vifo halali vya watoto ,vifo vya kukusudia kwa utoaji mimba mateso na magonjwa achilia mbali dhuruma zilizotawala
 
Pumbavu, shenzi kabisa. Wewe ni liprimitive la akili, elimu, muonekano na Kila kitu. Mamaako angekutoa Mimba ungejua kusema hata hiyo primitive? Kabla ya kutoa hiyo Mimba nenda kwa mamaako akakutoe kwanza wewe. Hata hao wanaokuheshimu wanaheshimu mtu zuzu kabisa. Wakijua umetoa Mimba ya mkeo ndo utadharaulika kuliko hata mavi, pumbavu kabisa. Vijitu vingine vikishapata vihela bwana vimatako vinalia mbwata maamuzi wanakuwa wanayatolea matakoni Kama ushuzi.

Mimi nakulaani kabisa Leo ukitoa hiyo Mimba ya mkeo na mkeo akakubali laana ya Mungu na mamaako na Mimi viwashike nyote. Mkeo alikataa mwache usimlazimishe laana hii ubaki nayo wewe mwenyewe na ukimlazimisha Basi laana hii ikushike wewe mwenyewe.
basiiiiiii! mwelekeze kwa upole inawezekana bado mdogo
 
Wewe mkulungwa acha Hizo Lea huo ujauzito Kwa kanuni zote,
Hio iliwahi mtokea marehemu Babu yangu miaka ya 70 Huko Ilikua hivyo hivyo akazaliwa baba yangu mkubwa ndani ya mwaka akazaliwa baba yangu mzazi halafu kioja Sasa mkubwa alizaliwa
chake chake Pemba
Mdogo akazaliwa stone town Unguja
Kama masikhara vile😁😅

shukuru Babu Alikua mjeshi Huko Zenjbar pesa ilikuwepo akapambana akalea huwezi amini watoto walikua mabig balaa na wenye afya njema japo now wote ni R.I.P
Ila kisa chako kimenifanya nikumbuke kisa Chao!
Pambana mkulungwa!
 
I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?

Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!

Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
We acha Mimba ikue kwanini huone aibu wakati wewe ndiye mlezi
 
Hapo inasomeka kwa anayetaka na hapo chini inasomeka si vibaya

"--Kwa anayetaka KUTIMIZA kunyonyesha---," kunyonyesha kusipotimia miaka miwili hapo kunakuwepo na mapungufu kwa mtoto, yaani mtoto anakuwa hajatimia kiafya kama hatanyonya kwa kipindi cha miaka miwili na kipindi hicho ni sawa na birth controll aliyoiweka Mungu mwenyewe.

Sasa ni mjinga gani asiyetaka KUTIMIZA kunyonyesha kwa miaka miwili??, Kinyume cha kutimiza ni kupunguza na kilichopunguzwa kwa case ya kunyonyesha ni madhara.
 
Watoto wangapi hawanyonyi kwahiyo miaka miwili
 
Kama nimeelewa swali lako vizuri, unataka kujua ni idadi gani ya watoto katika jamii yetu ambao hawanyonyi/hawanyonyeshwi katika kipindi cha hiyo miaka miwili??--- Kama swali ndio hilo, jibu lake ni; kulingana na mazingira yetu na jinsi ninavyoona majibu ya wachangiaji wengi wa hii mada ni wazi kwamba kuna watoto wengi sana ambao hawanyonyeshwi katika kipindi cha miaka miwili, na hii inachangia sana ubovu wa afya za watoto wetu hadi kupelekea ubovu wa afya za sisi Watu wazima kwani msingi wa afya ya mtu huanzia katika kunyonya kwa mama yake, watu wazima hata mpira wa miguu team zetu za taifa ni kichwa cha mwendawazimu, afya ya kiakili ndio usiseme, watoto hata watu wazima ni mazombie kwa kwenda mbele tupotupo tu hatujitambui nk,
 
Maziwa ya mama ni muhimu kwa miezi 6 lakini sio lazima mtoto anyonye miaka2 tena hao wanaoachishwa mapema wanakuwa smart sana
 
Tatizo heshima niliyoijenga katika jamii, naheshimika mno, sipo tayari kuikabili aibu hii
Kwani huwa unatoa elimu ya uzazi wa mpango radioni na kwenye television?? Kuwa Sasa wananchi tutashangaa kuwa imekuwaje??😂😅
 
Back
Top Bottom