Wewe ndiye uliyekaririshwa na kukariri, kwani nani kasema mtoto hakui au hatokuwa?!!--- mtoto atakuwa lakini hawezi kupata lishe ya maziwa ya mama kikamilifu kwani "breast milk is the best", au hulijui hilo??, mtoto ili awe na msingi wa afya nzuri ni at least anyonye kwa miaka miwili, mtoto asiponyonya kwa muda huo ni sawa na mgonjwa wa tb akatishe dose, mtoto asiponyonya kwa kipindi hicho hawezi Katika makuzi yake akawa mentally and physically okay, kwa macho utamuona okay lakini kwa undani hatokuwa okay na hili ni tatizo kubwa katika jamii zetu za kiafrika kuzaa bila mpangilio kunakopelekea watoto kukosa lishe bora na hivyo kuathiri mambo mengi kiafya, hata wewe labda umeathirika kiakili bila shaka ulinyonya chini ya miaka miwili na ulipofikisha miezi 4 ukaanza kulishwa mihogo na matembele hapo utapata wapi uwezo wa kufikiri iwapo msingi wa jambo hilo halimo ndani ya mwili wako.