Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

Hapo ni baada ya kutoka bandarini sijaweka hata plate namba
 
Nunua bajaji aina ya TVS lita moja 50km. Kijijini kibondo utaenda na basi la saratoga
 
Nunua bajaji aina ya TVS lita moja 50km. Kijijini kibondo utaenda na basi la saratoga
Cheki picha, nilinunua Subaru Forester L.L Bean Edition, 1994 cc. Ina wiki tatu tangu ifike bongo na kuanza kuitumia
 
Nani alikwambia naishi kibondo? Ishu ya gari nimeshamaliza. Ni moja ya malengo niliyojiwekea mwaka huu. Limetimia!
Safi sana kiongozi. Kuishi kwa malengo.
Nimeikubali chuma. Inakimbia kua makini sana.
 
Kwa safari tu mizinguko ya hapa na pale safari ni zile ndefu , kahama Songea Mtwara, Kahama ,katavi Sumbawanga mbeya
Nunua harrier iwe cc2360 na engine iwe vvti.usichukue kwa mtu agiza Japan. Milage iwe chini ya 100000.kununua kila kitu mil 17.3 ikifika tu piga tail mpya .shock up mpya battery mpya .na service kubwa laki tano .utaenjoy
 
Kwamba harrier hizi tako la nyani au old model kwa hiyo bei mkuu na nimetafuta sana karibia site zote japani nimekosa
 
Nunua harrier iwe cc2360 na engine iwe vvti.usichukue kwa mtu agiza Japan. Milage iwe chini ya 100000.kununua kila kitu mil 17.3 ikifika tu piga tail mpya .shock up mpya battery mpya .na service kubwa laki tano .utaenjoy
Na kwa nini isiwe hiyo hapo juu mkuu nipe taarifa kamili
 
Premio
 
I
Safi sana kiongozi. Kuishi kwa malengo.
Nimeikubali chuma. Inakimbia kua makini sana.
Inakimbia balaa, ndani ya mita 50 inakuwa imefika speed 100 kama umekanyaga mafuta mengi. Kwenye mlima inapita kama tambarare tu. Hawa jamaa wa vx sijui v8, sijui nini, naenda nao bila shida. Inanguvu balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…