Akili ya kubeti
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 417
- 636
Natanguliza shukrani kwenu. 🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅😅Ongeza 10k chukua Xiaomi redmi 12C Tigoshop, kama Budget inabana uza Mb zako kwa mtu,
Sio utani mkuu, ukinunua Simu Tigo kuna GB kadhaa unapewa zinatumika mwaka mzima, watu wanatoa hadi 30,000 kununua hizo.😅😅😅😅
wanauzaje, unatakiwa utumie line ya tigo tu?Sio utani mkuu, ukinunua Simu Tigo kuna GB kadhaa unapewa zinatumika mwaka mzima, watu wanatoa hadi 30,000 kununua hizo.
Inaizid Redmi 9T?Ongeza 10k chukua Xiaomi redmi 12C Tigoshop, kama Budget inabana uza Mb zako kwa mtu,
Ni nzuri?? Nichukue niweke laini ya tigoOngeza 10k chukua Xiaomi redmi 12C Tigoshop, kama Budget inabana uza Mb zako kwa mtu,
Nzuri kwa hio budget kwa simu mpya kama una uhitaji huo.Ni nzuri?? Nichukue niweke laini ya tigo
Maana kasimu kadogo nakasahau sana.
Maybe ni Equivalent yake, hakuna Advantage kubwa baina ya hizo simu 2.Inaizid Redmi 9T?
280,000 na inatumia line zote, Xiaomi za Tigo hazina lock.wanauzaje, unatakiwa utumie line ya tigo tu?