Kwa bajeti ya 250k mpaka 270k simu gani nzuri nichukue?

Kwa bajeti ya 250k mpaka 270k simu gani nzuri nichukue?

Pengine zipo, ila Usa ndio unazipata kwa bei rahisi.

Pia kuwa makini na band za simu husika, kuna V60 band zake haziendani na Tanzania.
Nawezaje kujua hapo hizi band kwamba hazipo compatible? Nikiweka Chip ama? Na inasupport E card?
 
Xiaomi 12 turbo, sema ni ya kuagizishia nje.

Za kununua hapa hapa A34 Samsung si mbaya.
hii turbo ina esim?? halafu ina tofauti gani na redmi note 13 pro??

nina 600k cash

nataka simu used yenye

1. kukaa na charge sanaa

2. camera kali

3. kioo kizuri

4. storage 256gb+

5.better performance

6. esim
 
hii turbo ina esim?? halafu ina tofauti gani na redmi note 13 pro??

nina 600k cash

nataka simu used yenye

1. kukaa na charge sanaa

2. camera kali

3. kioo kizuri

4. storage 256gb+

5.better performance

6. esim
Haina Esim na Turbo ni more perfomance oriented phone, processor yake ina nguvu kuliko flagship za 2022 kama S22. Compare na 13 pro ni simu nzuri zaidi.

Ila kama una value Camera na Display ina maana simu used zitakuhusu. Flagship za 2022 mwishoni sema nimecheki yenye Esim ni Xiaomi 12T pro tu.
.
Oneplus 10T ni simu nzuri sana haina Esim ila inafit requirements nyengine.

Hapo Esim ime disqualify simu nyingi sana nzuri.
 
Kamata samsung a05 kama bado hujanunua kwa bajeti hiyo inatosha
 
Haina Esim na Turbo ni more perfomance oriented phone, processor yake ina nguvu kuliko flagship za 2022 kama S22. Compare na 13 pro ni simu nzuri zaidi.

Ila kama una value Camera na Display ina maana simu used zitakuhusu. Flagship za 2022 mwishoni sema nimecheki yenye Esim ni Xiaomi 12T pro tu.
.
Oneplus 10T ni simu nzuri sana haina Esim ila inafit requirements nyengine.

Hapo Esim ime disqualify simu nyingi sana nzuri.
asante kwa maelezo

vipi hpa siwez kuishi??
Screenshot_20240305-001514_Jijicotz.jpg
 
Back
Top Bottom