iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
Kwanini? Unaweza kutupa sababu Chief?Simu zote za sd 888 zitakuzingua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini? Unaweza kutupa sababu Chief?Simu zote za sd 888 zitakuzingua.
Processor zote kuanzia hiii hadi leo kwenye flagship zinakula sana umeme, watts 10 kuendelea, sema hii ilikuwa processor ya kwanza kabisa kuanza kutumia umeme mwingi, watengenezaji simu wengi walifeli kuipoza na kulimit huo ulaji umeme na kupelekea simu kupata joto na kutokaa na chaji. Kulikua na sababu mbili hizi processor kula umeme.Kwanini? Unaweza kutupa sababu Chief?
yaani hapa hta ie yenye sd 870 ama sd 8 gen 1 nazo vimeo sio??Processor zote kuanzia hiii hadi leo kwenye flagship zinakula sana umeme, watts 10 kuendelea, sema hii ilikuwa processor ya kwanza kabisa kuanza kutumia umeme mwingi, watengenezaji simu wengi walifeli kuipoza na kulimit huo ulaji umeme na kupelekea simu kupata joto na kutokaa na chaji. Kulikua na sababu mbili hizi processor kula umeme.
1. Arm wenyewe walitoa core mpya za cortex X ili kushindana na Apple, hizi zilikua zinakula sana umeme, core moja inakula hadi watts 4, tofauti na zamani core za cortex A77 zilizotumika kwenye sd 865 zilizokua zinakula watts 1.8 tu.
2. Walitumia manufacturing process ya Samsung badala ya Tsmc, hii pia ilisabisha ongezeko la utumiaji umeme, wakati huu yield za samsung zilikua ndogo hivyo kupelekea huo ulaji umeme mkubwa.
Kama unanunua simu za mtumba vyema ukitoka flagship za 2020 zenye snapdragon 865 ruka moja kwa moja mpaka flagship za 2023 zenye snapdragon 8 gen 2.
No sd 870 nzuri, sd 870 ni muendelezo wa sd 865.yaani hapa hta ie yenye sd 870 ama sd 8 gen 1 nazo vimeo sio??
Mpaka hapa nmekuelewa aisee! 👍No sd 870 nzuri, sd 870 ni muendelezo wa sd 865.
8 gen 1 sio nzuri ila baadae walikuja kuifix na kutoa 8+ gen 1, hio yenye plus ni nzuri.
Chief Mkwawa check inboxNo sd 870 nzuri, sd 870 ni muendelezo wa sd 865.
8 gen 1 sio nzuri ila baadae walikuja kuifix na kutoa 8+ gen 1, hio yenye plus ni nzuri.