Kwa bajeti ya milioni 5, nitapata gari gani zuri kama chombo cha usafiri

Kwa bajeti ya milioni 5, nitapata gari gani zuri kama chombo cha usafiri

Brevis ya kizamani inapatikana wapi? Umewahi kukuta hata namba C?
Hii siyo C, au miwani yangu mbovu..??[emoji848][emoji848][emoji848]
Screenshot_20201108-132622.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Funcargo naona gari imekaa kisenge sana yani. Iko out of shape sana kwa mtoto wa kiume. I used to hate Opa ila baada ya kuiendesha nikagundua ni gari flani ambayo iko so cool. Good performance and comfortability and best of all ni iko spacious sana comapred na vibebi woka vyote.
Oppa mie naona gari mbaya. Bora achukue Toyota FunCargo. We unasemaje?
 
Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu.

Nisiwachoshe nimechoka na hekaheka za boda boda nina bajet ya mil 5 naweza kupata gari used iliyo vizuri? Mimi ni bonge kidogo sitaki Passo wala Vits.

Nashukuru.
Ipo toyota sprinter..milion 5..iko vzr sana..ni pm kwa info zaid if interested
 
Back
Top Bottom