sinyora Umenikumbusha mbali kidogo, niliwahi kupitia kipindi kama hicho sometimes back. Japo chombo nilichokua nahitaji Mimi kilikua kikubwa kidogo. Ila mfuko ukawa nao umebana haswa, kuna mtu akaniunganisha na mtu, ambaye alinisaidia .
Ni individual hua mnaandikishiana kisha yeye anakulipia ushuru na gharama zingine kwaajili ya kutoa gari lako. Then unamrejejshea kwa makubaliano mliyokubaliana kwenye mkataba.
Sina hakika kama bado anafanya hii issue.