Kwa bajeti ya milioni 5, nitapata gari gani zuri kama chombo cha usafiri

sinyora Umenikumbusha mbali kidogo, niliwahi kupitia kipindi kama hicho sometimes back. Japo chombo nilichokua nahitaji Mimi kilikua kikubwa kidogo. Ila mfuko ukawa nao umebana haswa, kuna mtu akaniunganisha na mtu, ambaye alinisaidia .

Ni individual hua mnaandikishiana kisha yeye anakulipia ushuru na gharama zingine kwaajili ya kutoa gari lako. Then unamrejejshea kwa makubaliano mliyokubaliana kwenye mkataba.

Sina hakika kama bado anafanya hii issue.
 
Gari ni kama mwanamke vile wanasema hakuna mwanamke mbaya ni kama gari ukilipimp hakuna gari baya
View attachment 1696830
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…