Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Redmi 13C na 12C ni kama simu moja tu, sema kwa hio Bei ni nzuri sana maana Tigo wanauza 280,000, unaipata wapi?Kuna redmi 13C imetoka juzi tu budget ya kawaida specifications bora. Nafikiria niichukue pia. Zinaanzia 269000/-
Hass Tech pia ni 269,000. Huyu jamaa kwenye Xiaomi ana bei za kizalendo sanaRedmi 13C na 12C ni kama simu moja tu, sema kwa hio Bei ni nzuri sana maana Tigo wanauza 280,000, unaipata wapi?
Pia cheki Redmi 12 5G ama Poco M6 pro nazo simu nzuri kama unazipata Chini ya 350,000
Njoo nikuuzie redmi note 12 mpyaMWENYE SAMSUNG A05S YA KUUZA AWEKE BEI NA NAMBA YA SIMU.
Hebu fafanua hapa please.Simu yoyote ukiona ina sehem ya fingerprint nyuma hiyo hiyo unaipata hata kwa 250k tu hazinaga gharama.
BeiNjoo nikuuzie redmi note 12 mpya
390,000Njoo nikuuzie redmi note 12 mpya
A15 Agrey ni 320,000 if you know where to look.Samsung A05S mwenye nayo aje huku.
Mkuu, GSMArena wanasema Samsung Galaxy A15 5G ni very sluggish ukicompare na Galaxy A15 ya kawaida licha ya kuwa na more capable chip. Sababu inaweza kuwa ni nini?A15 Agrey ni 320,000 if you know where to look.
A15 5G haina more capable chip, ni downgrade compare na A14 5G yenye Exynos 1330 na ni kama sawa na G99 ya A15 plain.Mkuu, GSMArena wanasema Samsung Galaxy A15 5G ni very sluggish ukicompare na Galaxy A15 ya kawaida licha ya kuwa na more capable chip. Sababu inaweza kuwa ni nini?
POCO gani napata kwa 450KA15 5G haina more capable chip, ni downgrade compare na A14 5G yenye Exynos 1330 na ni kama sawa na G99 ya A15 plain.
A15 5G ina Dimensity 6100 na A15 ina helio G99 hizi soc ni same tier perfomance wise utofauti ni hio 5G. Kama kuna sluggish yoyote ni software ama 5G related problem.
Simu kama Poco M6 pro ama M6 pro 5G,POCO gani napata kwa 450K
Kwa hiyo apart from Poco, kwa 450K-500K napata simu gani nzuriSimu kama Poco M6 pro ama M6 pro 5G,
Sema kwa muono wangu Poco simu za lowend kawaida sana, ila kwenye midrange na upper midrange wapo vyema zaidi.
Kwani lazima ununue sasahivi? Jichange kwanza ifike 560K ununue Redmi Note 13 Pro 5GKwa hiyo apart from Poco, kwa 450K-500K napata simu gani nzuri