Kwa bajeti ya Tsh. 300,000/- naweza kununua simu gani nzuri mpya au used?

Mkuu kwema? Kwanza nashukuru kwa Code,
ila ninaombi kama autojali unisaidie katika kununua Xperia 5ii dual sim kati ya tarehe 1-7/09
 
Kariakoo Agrey ni zile refurb

Kabla ya kununua hakikisha unapiga hii namba

Code:
 [I]#[/I]#7378423#[I]#[/I]
[/QUOTE]
Hii Code [I]#[/I]#7378423#[I]#[/I] ni Kwa simu zote.? 
Au Samsung ana Code yake ukitaka kujua ni Simu mpya.
 
Chief Nataka kununua simu ya Samsung bajeti yangu ni 600,000/=
Samsung ipi nzuri inaendana na bajeti hii
Kwa Simu mpya Ni Samsung Galaxy A25, hii unaipata bila tabu kwa hio budget, ila pia angalia Samsung A34 unaweza ukaipata kwa hio budget nayo ni nzuri.
 
Hizo ni code za Sony tu, hazihusiani na Samsung.

Kwa Samsung tumia njia hii

Hio njia ya pili inafanyika bila pc.

Sema kama unanunua simu mpya mambo ya battery health si muhimu sana.
Kaka mwisho
 
Mkuu kwema? Kwanza nashukuru kwa Code,
ila ninaombi kama autojali unisaidie katika kununua Xperia 5ii dual sim kati ya tarehe 1-7/09
Chief ujaniona Chief, nilitaka nije PM ila natumia kitochi kinazingua.
 
Authorized dealer Wa pixel nawapataje mkuu
 
Mkuu kwema? Kwanza nashukuru kwa Code,
ila ninaombi kama autojali unisaidie katika kununua Xperia 5ii dual sim kati ya tarehe 1-7/09
Agrey unazipata mkuu tafuta duka linalotoa warranty hata ya mwezi ili uihakiki vizuri kama ina tatizo.
 
Kwa Simu mpya Ni Samsung Galaxy A25, hii unaipata bila tabu kwa hio budget, ila pia angalia Samsung A34 unaweza ukaipata kwa hio budget nayo niBei


Bei ya Tigo Shop hio.
Tigo Shop inauzwa 990,000/=
Mimi Nataka Samsung ya 600,000/=
 

Attachments

  • IMG_20240830_203121.jpg
    78.4 KB · Views: 6
Tigo Shop inauzwa 990,000/=
Mimi Nataka Samsung ya 600,000/=
Hao Tigo shop na wao bei zao ni hovyo tu sometimes. A25 most places ni 650K.
Tafuta Samsung Galaxy A34 kwa hiyo bei. A25 nimeona watu wakilalamikia kuhusu overheating. A34 ni nzuri na ina hadi fingerprint scanner chini ya kioo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…