Kwa bango hili maridhiano yako ICU

Kwa bango hili maridhiano yako ICU

Fv2MN-sWwAc1cpE
Walioomba maridhiano ni Chadema ila Sasa wanataka wavuke mstari .

Pili Chadema Kila mtu ni kambale sio chama Cha kitaasisi
 
Hawa wahuni wanataka Samia aingilie Uhuru wa mahakama na Bunge? Haya majitu yasiyojua mihimili haiingiliani ndio yanataka yakabidhiwe nchi? Sitashangaa yakitaka Mbowe awe Rais, awe spika, na awe Jaji Mkuu
Mamlaka ya Rais Tz hayana Mpaka....
 
Hawa wahuni wanataka Samia aingilie Uhuru wa mahakama na Bunge? Haya majitu yasiyojua mihimili haiingiliani ndio yanataka yakabidhiwe nchi? Sitashangaa yakitaka Mbowe awe Rais, awe spika, na awe Jaji Mkuu
Mbona unakuwa msahaulifu kabla ya kuzeeka? Kama mwendazake aliweza kuwa rais, spika, igp, polisi na asiyejulikana wengine watashindwaje?
 
Bango jepesi sana hilo.....

BAWACHA pasi na kuheshimu KESI iliyoko mahakamani [emoji1787][emoji1787]wanaandamana kutaka COVID-19 watimuliwe bungeni.....

BAWACHA kwa papara bwanaa....

Lema yuko huru....anatumbua stahiki zake alizonyimwa huko nyuma.....

Tundu Lissu anazunguka kwa amani kabisa.....amelipwa yale mamia ya mamilioni ya bunge....

Mbowe ana amani .....ujana umemrudia ameagana na "Segerea".....si mhaini ,si gaidi....maelfu ya ekari ya mashamba yake yako tena mikononi mwake.....ya Billicanas yatafidiwa.....AISHI HOTEL kunang'aa....kijana mwenzetu Ole Sabaya HATOKWENDA KAMWE KUWASUMBUA....Hai inabubujika furaha ,amani ,utulivu na matumaini.....

CCM hatuhitaji tena zile "sajili" kama za mbunge "mvua nguo" bungeni [emoji1787][emoji1787]

Hakika mh.SSH ni zaidi ya Rais....

Eti BAWACHA hawayaoni yote haya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#MamaKaja[emoji2956]
#SiempreJMT[emoji120]
 
Kwanza hawana Adabu

Unawezaje kumwita Rais kama unamwita house girl wako?

Pili, maridhiano ni faida Kwa chadema wenyewe, coz hata kama hawataki kuridhiana je watafanya nn?

Do you think chadema ya Leo wanaweza kufanya maandamano ya kusimamisha inchi?

Never
 
Yani we ndo hujitambui! Ccm haina mda wa kumchukua mbowe! Kama mnajua anazingua na mnaufyata kumchana ndo uelewe sasa kua wana cdm wengi wana ka ukichaa kama ww! Sa ndo umeandika nini icho?
 
Bango jepesi sana hilo.....

BAWACHA pasi na kuheshimu KESI iliyoko mahakamani [emoji1787][emoji1787]wanaandamana kutaka COVID-19 watimuliwe bungeni.....

BAWACHA kwa papara bwanaa....

Lema yuko huru....anatumbua stahiki zake alizonyimwa huko nyuma.....

Tundu Lissu anazunguka kwa amani kabisa.....amelipwa yale mamia ya mamilioni ya bunge....

Mbowe ana amani .....ujana umemrudia ameagana na "Segerea".....si mhaini ,si gaidi....maelfu ya ekari ya mashamba yake yako tena mikononi mwake.....ya Billicanas yatafidiwa.....AISHI HOTEL kunang'aa....kijana mwenzetu Ole Sabaya HATOKWENDA KAMWE KUWASUMBUA....Hai inabubujika furaha ,amani ,utulivu na matumaini.....

CCM hatuhitaji tena zile "sajili" kama za mbunge "mvua nguo" bungeni [emoji1787][emoji1787]

Hakika mh.SSH ni zaidi ya Rais....

Eti BAWACHA hawayaoni yote haya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#MamaKaja[emoji2956]
#SiempreJMT[emoji120]
wanamgambo wa cdm ukisema ukweli kama huu wanachukia
 
Visa vya CHADEMA havijaanza leo
Angalia hapa 2014 kilichowakuta na ulinganishe na Hiyo "Dharau" wanayodai.
Ati Maridhiano hayahusiani na Uharakati hawa huwa wakianza kususa wanaanzisha mengine kutuhadaa.🤔

Kutoka maktaba(2014) 👇

Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) kwenda Ikulu kutoa hisia zao kwa Rais Kikwete kuwa hapaswi kupokea na kusaini Rasimuya Katiba iliyopitishwa kiharamia juzi huko Dodoma.👇
polisi-2-jpg.190566

IMG_1495.JPG

Aliyewakingia na Kuwapa Jeuri
👇

mdee.jpg

Halafu wanadai hawana Siasa za Visasi!
Ati 'Walipeleka barua'
 
Back
Top Bottom